Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Toa mawazo yako juu ya mwonekano wa uchaguzi Kinondoni:
Si unaona makamanda walivyoufyata?Toa mawazo yako juu ya mwonekano wa uchaguzi Kinondoni:
View attachment 686383 View attachment 686384 View attachment 686385
Ccm inasafirsha watu kwenye malori na kuwalipa buku 7Toa mawazo yako juu ya mwonekano wa uchaguzi Kinondoni:
View attachment 686383 View attachment 686384 View attachment 686385
Yaliishia kushinda lakini akaporwa ushindi yeye na maalim SeifMafuriko ya Lowasa yaliishia wapi?
...nyie Safirisheni na Coasters !Ccm inasafirsha watu kwenye malori na kuwalipa buku 7
Halafu kudhihirisha hilo ati wapiga kura 90%wamevaa sare za chama chao...Hawa wa CCM si wanajumuisha na wale mliowabeba kutoka segerea Mkuu.
Ccm inasafirsha watu kwenye malori na kuwalipa buku 7
Unataka Kusemaje Sasa? Kwahiyo Yale Mafuriko Ya Lowassa ndio mna-confirm kwamba mliiba kura au siyo?
View attachment 686397
Halafu wanao lipwa sio wapiga kura. Ila Salim alikuwa anaongea na wapiga kura ambao hawaja pewa hata senti. Na nguo za chama walikuwa wana nunua kwa pesa zao...Hahaha mkuu hapa si siasa sana. Inatakiwa ukweli wake tu
Nanyie safirisheni mzee,siasa ni hela siyo manenoCcm inasafirsha watu kwenye malori na kuwalipa buku 7