Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,658
Kenya raha jamani tuache utani wapinzani wana raha wanaongea swafi hadi stress zao zinaisha wana sema Jubilee imeiba pesa kuliko serikali zote zilizowaji ongoza Kenya ufisadi wizi miradi hewa.
Gharama za rail mpya kutoka mombasa to Nairobi ni kubwa sana ambapo Morocco same amount wamejenga rail na kununua bullet train ambayo ndio yenye kasi Africa nzima.
Hivi nasi tujaribu kicompire miradi yetu au nasi tumeibiwa kama wakenya... Kenya wamekopa pesa nyingi kwa ajili ya miradi ambayo kipindi hiki ndio Jubilee inatakiwa kuionesha ni hewa wameanza kujenga madaraja ya wapita kwa miguu na raisi anayazindua haha. Miafrica ndio tulivyo.
Tatizo la upinzani Kenya ni baada ya huo muungano wanasema hawataki kuona kiongozi Wa upinzani anaondoka kwenye siasa tamaa tu kumbe.
System ni ile ile yaani hadi Kanu naye kajiunga umoja Wa wapinzani wakiupa kwa jina la NASA.
Uchaguzi Wa Kenya utakuwa sio tena Wa kieletronic baada ya upinzani kung'ang'ania ubaki lakini Kenyatta usiku ikulu kwake akasaini Sheria ya kuhesabu kura kwa mikono.
Nawatakia kampuni salama na uchaguzi salama na Wa Amani.
Kenya oyeee