Elections 2010 Uchaguzi katika mwezi wa ajabu, Hupatikana kila baada ya miaka 823!


Au unamaanisha PASS?
 
Kama sio ule mpango wa Mwl Nyerere wa kuwaokoa watu wa pwani kutoka kwenye pombe za minazi, Huyu bwana angekuwa na certificare ya sanaa pale Bagamoyo!
 
hivi kikwete ni dr wa nini?

Ni Dr katika uwezo wake wa kuongoza nchi, uhusiano wa kimataifa na kutatua mgogoro wa miaka zaidi ya 40 wa Zanzibar.

Hapo sijataja mambo mengine kama kuendesha uchaguzi wa kwanza ulio wazi na huru, Uhuru wa vyombo vya habari, kupigania kubadilisha mikataba ya madini ya kitapeli, kujenga soko kwa wamachinga (sio kuwafukuza tu toka kariakoo bila ya kujua watakwenda wapi) na......na......na.

Kwa kujumuisha hayo yote tunaweza kumwita ni 'kiongozi mwenye vision na Tanzania'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…