Elections 2010 Uchaguzi katika mwezi wa ajabu, Hupatikana kila baada ya miaka 823!

Tusizungushane sana jukwaani SEIF SHARIF HAMAD alishasema waliofanya kweli MLIMANI miaka ya 1972 hadi 1975 wanajuana allijitaja yeye na Jenerali Twaha Ulimwengu wengine kwa mnaokumbuka vizuri waongezeni

Lakini JK alipata ile inayoitwa nini vile hile ya kunyooshea nguo ile hivi inaitwaje ................ (mi simo)

Au unamaanisha PASS?
 
JK hajawahi kuwa Dr na siamini kuwa anaweza kuwa. Inachukua miaka 2 kupata Masters, 5-6 kupata PhD. Hizi za mezani wenzake huwa wanakaa kimya..mfano ni Benjamini W. Mkapa. Hajawi kusema ni Dr pamoja na kwamba ana Masters na aliwahi kupewa PhD ya Sokoni aaa sorry ya mezani
Kama sio ule mpango wa Mwl Nyerere wa kuwaokoa watu wa pwani kutoka kwenye pombe za minazi, Huyu bwana angekuwa na certificare ya sanaa pale Bagamoyo!
 
hivi kikwete ni dr wa nini?

Ni Dr katika uwezo wake wa kuongoza nchi, uhusiano wa kimataifa na kutatua mgogoro wa miaka zaidi ya 40 wa Zanzibar.

Hapo sijataja mambo mengine kama kuendesha uchaguzi wa kwanza ulio wazi na huru, Uhuru wa vyombo vya habari, kupigania kubadilisha mikataba ya madini ya kitapeli, kujenga soko kwa wamachinga (sio kuwafukuza tu toka kariakoo bila ya kujua watakwenda wapi) na......na......na.

Kwa kujumuisha hayo yote tunaweza kumwita ni 'kiongozi mwenye vision na Tanzania'.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom