Uchaguzi katika mwezi wa ajabu, Hupatikana kila baada ya miaka 823! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi katika mwezi wa ajabu, Hupatikana kila baada ya miaka 823!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zawadi Ngoda, Oct 15, 2010.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Je wajua kuwa Uchaguzu mwaka huu umepangwa katika mwezi usio wa kawaida?
  Katika mwezi huu wa OKTOBA una IJUMAA 5, JUMAMOSI 5 NA JUMAPILI 5, zote zipo katika mwezi mmoja. Hii hutokea mara moja katika kila miaka 823.

  Hii inamaanisha nini kwa wagombea wetu mwaka huu? Je umegundua kuwa hata wagombea wake ni waajabu? Hebu angalia mlolongo huu:

  1. Profesa Lipumba

  2. Dr Kikwete

  3. Dr Slaa

  4. Dr Hashim

  Mlolongo wa elimu kama huu haujawahi kutokea huko nyuma kwa wagombea wa urais.

  Sasa ni nani wa kuchaguliwa hapo? Jibu, Ahh kwanini usimuache Rais aliyekwisha kuwa na uzoefu wa kuiendesha nchi kwa miaka mitano. Suala si tu uzoefu bali vile vile ni kumalizia program zake ili watanzania tuondokane na umasikini once and for all.

  Isitoshe ni kijana aliyelelewa na Mwl Nyerere, hivyo kama tunahitaji kumuenzi mwl kama tunavyoeleza humu JF (14/10) BASI TUMCHAGUE KIKWETE. Au mnaonaje wenzangu?
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  tumechoka rushwa na vipaumbele bomu vya mgombea wako.Kama kuna uzoefu aliojifunza sio mbaya atautumia kwenye chama chenu.
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hivi kikwete ni dr wa nini?
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  huwa napata shida kujua jinsia za watu wenye majina kama BAHATI, ZAWADI, nk. samahani ndugu, wewe ni jinsia gani? ni hilo tu.
   
 5. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  [​IMG]

  Kucheza ngoma!
   
 6. coby

  coby JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dr wa Kiduku!!
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Did u' have time to read what u' just wrote?
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  You couldn't have said it better.
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wagombea wote wapo vizuri kielimu as follows:
  Lipumba (PhD)
  Slaa (PhD)
  Kikwete (BA economics)
  Rungwe (PhD)
  Duh, sijui Kikwete kaingiaje hapa, mtu hata post graduate diploma tu hakuna? Hivi alitoka na GPA gani pale mlimani? Au hata kumaliza degree ilikuwa ni kwa kubebwa!! I cant imagine kwa mtu uliyetoka vizuri kushindwa kujiendeleza hata kidogo.
  Lakini uongozi wake wa miaka mitano unaonyesha wazi kwamba ni kilaza!!
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280

  這張名單有三個知識分子和一個人。 Kikwete不是其中一個知識分子。
   
 11. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wewe umetumwa na shekhe yahaya?
   
 12. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK hajawahi kuwa Dr na siamini kuwa anaweza kuwa. Inachukua miaka 2 kupata Masters, 5-6 kupata PhD. Hizi za mezani wenzake huwa wanakaa kimya..mfano ni Benjamini W. Mkapa. Hajawi kusema ni Dr pamoja na kwamba ana Masters na aliwahi kupewa PhD ya Sokoni aaa sorry ya mezani
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahaha, Mh Usiulize alitoka na GPA ngapi si ana degree inatosha!
   
 14. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Embu acha kampeni za ajabu, eti mlolongo wa elimu kama huu haujawahi kutokea huko nyuma kwa wagombea urais
  Hiv huko serious kabisa kutuaminisha KIKWETE ni DKT kawaambie wazee huko mpitimbi na kishumundu kuwa JK ni DKT labda watakuelewa
  eti mchagueni JK maana ana uzoefu wa miaka mitano! daaaah kweli ushabiki huu utatupeleka pabaya, kama uzoefu ktk urais ni muhimu sidhani kama tungeweka sheria ya rais asiongoze kwa zaidi ya miaka miwili maana hapo uzoefu ndio ungekuwa mkubwa zaidi

  Eti kijana aliyelelewa na mwalimu Nyerere kama nayo hiyo ni sifa basi tungempa MAKONGORO NYERERE Urais maana yeye kazaliwa na kulelewa na mwalimu. kama huna taarifa Nyerere aliwakataa JK na EL mwaka 1995 tatizo lenu mlitaka mwalimu aseme simtaki JK na EL ndio mjue amewakataa Wanafilosofia awakatai watu kwa staili hiyo JK alishaonekana ni tatizo. Mwl alisema tunachagua Rais hatuchagui sura, kama mmeipenda sura yake basi nendeni mkanywe nae chai lakini si kumpa Urais. jiulize mwaka 1995 nani alikuwa handsome zaidi ya JK? hata 2005 ktk kampeni za JK walikuwa wakimnadi kuwa ni HANDSOME kuliko MBOWE na LIPUMBA uongo?

  mwaka 2010 HATUDANDANYIKI
   
 15. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Tusizungushane sana jukwaani SEIF SHARIF HAMAD alishasema waliofanya kweli MLIMANI miaka ya 1972 hadi 1975 wanajuana allijitaja yeye na Jenerali Twaha Ulimwengu wengine kwa mnaokumbuka vizuri waongezeni

  Lakini JK alipata ile inayoitwa nini vile hile ya kunyooshea nguo ile hivi inaitwaje ................ (mi simo)
   
 16. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2010
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hatudanganyiki kihivyo!

  Kama ni uzoefu, kwanini mwaka 2005 hamkusema ana uzoefu wa kuwa Raisi?
  Wapo akina Kagame wa hapa Tz, watatoka msituni (kwenye mapambano) na kwenda ikulu na nchi itakuwa NCHI.

  Tuachane na ujinga plus upofu, natamani kama kuna wana Jf toka TARIME waweke hoja zao hapa.
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,162
  Likes Received: 417,585
  Trophy Points: 280

  Kama Jk Angelikuwa ameyapata vizuri malezi ya Nyerere asingelikuwa fisadi nambari one
   
 18. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Zawadi Ngoda
  Kama reasoning yako ina base kwa ulicho andika hapo juu in RED, then SI KWELI UKO VERY WRONG, kwa kuanza tu, angalia January 2010 na July 2011, kuna ijumaa, jumamosi na jumapili tano , je ni miaka 823 tangu October 2010 na miezi hiyo??
  Kumalizia zaidi ni elimu gani hiyo ya DR ,inawezekana kabisa katika list hiyo akawa yuko chini kabisa manake yake ya mezani, au siyo mgosi/mndele?

  Next time please check your facts before posting!
   
 19. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Hivi ZAWADI unaupeo kweli wa kufikiri wewe?
  kuhusu mwezi OKTOBA kaangalie tena kalenda yako vizuri hiyo miiezi ipo mingi tu! ata mwaka huu ipo,

  Kuhusu usomi? sasa huyo Kikwete wako anausoimi gani zaidi ya Bachelor ya uchumi tena na wasiasi uchumi wenyewe ni ule wa SOCIAL SCIENCE na sio ule wa SCIENCE.

  Kuhusu chaguo la NYERERE, kweli upeo wako mdogo um esha sahau NYERERE alisema nini kuhusu hawa watu? KWELI KSABISA UMESAHAU AU UNATAKA KUPOTOSHA?
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni wa ajabu bse vyama vya upinzani ndo viatachukua nchi
   
Loading...