Uchaguzi KALENGA CHAUSTA hawajazindua Kampeni hadi sasa

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Kama tujuavyo uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Kalenga ni Tarehe 16.03.2015 (Jumapili) na imebaki siku moja tu hadi sasa, cha kusikitisha nimesikia kupitia Taarifa ya habari ITV kuwa chama hiki cha CHAUSTA hakijazindua kampeni zake hadi sasa,
My Take
Ni vema sasa Msimamizi wa Vyama vya siasa ikaliangalia hili kwani inaonyesha wazi tunakuwa na vyama vingi vya siasa ambavyo vipo kinadharia tu na sio kivitendo na havionyeshi uhai na ni vema mchujo ukafanyika ili vibaki vile vyama ambavyo vipo hai sio hivi vinavyosubiri uchaguzi mkuu na kuanza kuhubiri kwa wafuasi wake waichague CCM.
 
vyama vingine ni mizigo kama wale walioitwa na nape mawaziri mizigo 5 , hawa gasia, shukuru kawabwe,ali malima, chiza, bado mmoja ambae sijui kama yupo hai (mafurushi)
 
hiki chama cha ajab sana m mwenyewe nimesikia hiyo habari

Hivi vyama uweka wagombea wakitegemea fedha kutoka CCM ili katika kampeni wainadi CCM na kwa kuwa CCM kwa sasa fedha zimewaishia hawakuweza kufanya kama wafanyavyo na CHAUSTA kujikuta wanatoka kapa na kushindwa mipango yao ya uchumia tumbo.
 
Back
Top Bottom