Uchaguzi igunga;-CHADEMA mikononi mwa CCM

Wakuu,

Ni kipindi sasa tumekuwa tukifuatilia muelekeo wa uchaguzi kule igunga baada ya GAMBA kuu kuvuka na tayari jana vyama vikubwa vya siasa vimefanya kura zake za maoni...

Cha kufurahisha ni taarifa za kiintelijensia kuwa wajumbe wa CDM wamekubali kumchagua bw. Joseph Kashindye ambaye kwa kipindi chote kabla ya uchaguzi huu mdogo amekuwa akimuhakikishia rostam aziz anapita bila kupingwa kwa kutumia nafasi yake ya uratibu wa elimu wa wilaya kwa kumtengenezea network imara ya walimu..

Swali gumu ambalo wana chadema wanatakiwa kujiuliza kama huyo jamaa anakubalika kwa nini sasa alikiacha chama kikashindwa kusimamisha mgombea katika uchaguzi mkuu uliopita, ukweli ni kwamba huyu jamaa ni swahiba mkubwa wa mgombea aliyenunuliwa na rostam mwaka jana na kuacha kusimamisha mgombea...

TAHADHARI.
Wakati wana CHADEMA tunahaha kutafuta jinsi ya kumzuia bwana SHIBUDA kutualibia chama chetu leo namwona SHIBUDA mwingine anayekuja kwa upande wa pili tena afadhali SHIBUDA yeye alifanikiwa kukabidhi kadi ya magamba kwa CDM mbele ya Kamanda MBOWE kuliko huyu mbunge mtarajiwa ambaye magamba yanatamba kuwa ni mali yao na tayari wameshamaliza kazi ...

wana Igunga wanakumbuka jinsi bw. Kashindye alivyokuwa akifanya vikao na walimu wa shule za msingi kipindi Dr Slaa anagombea urais kwa kutumia nafasi ya uratibu/ukaguzi kuwashawishi walimu wasimuunge mkono KWA KUWA AMEPORA MKE WA MTU (JOSEPHINE MSHUMBUSHI) na kwamba hana sifa za kuwa FIRST LADY kwa kudai eti naye ni mwizi wa mume wa mtu...eti ni UFISADI WA MAPENZI..Kazi ambayo KASHNDYE aliifanya kwa maelekezo ya Rostam ili kumsaidia baba ridhiwani ashinde.

swali lingine ni kwamba ni lini aliwahi kujitokeza hadharani kuomba radhi ama kukanusha hizi tuhuma zilizojaa midomoni mwa wadau wanaoitakia heri Igunga?... wakati tunasubiri kuona nini hatma ya matokeo ya mchakato huu wa kufurahisha...
Naanza kuliona ANGUKO KUU LA CHADEMA IGUNGA....

Kweli CCM NI KIBOKO YAO!!!!!!....​

WAKUU TUWAOMBEE DUA CHADEMA WAVUKE SALAMA NGWE HII...

Kutoka kwa watazamaji tulio nje ya eneo la tukio, naomba kuwasilisha.

Baada ya kupitia thread yako nyingine nimegundua wewe ni mfuasi mkubwa wa CUF ie CCM B.
Acha kupandikiza chuki za kijinga waache wanaigunga wafanye maamuzi yao!!!!!!!!!

Watu wa CUF wasilete vurugu afadhali waendeleze ndoa yao na CCM na NAPE
 
Wakuu naona watu wanahoji kwa nini huyu tu wakati wengne nao hawakuwepo swala ni kwamba huyo bwana taarifa zinasema wlishirikiana na mgombea aliyechukua fomu kisha akaingia mitini...hapo ndio kunapokuja hoja ya usaliti wenyewe wanasema kama asinge shirikiana na jamaa kuchukua fomu na kusepa watu wangegombea tu...wamegombea MONDULI na BAGAMOYO kwa vibaka wenzao sembuse hapo?.
 
Uongo haulipi ndugu yangu,wewe endelea kumnadi mgombea wako wa CUF
 
Wakuu,

Ni kipindi sasa tumekuwa tukifuatilia muelekeo wa uchaguzi kule igunga baada ya GAMBA kuu kuvuka na tayari jana vyama vikubwa vya siasa vimefanya kura zake za maoni...

Cha kufurahisha ni taarifa za kiintelijensia kuwa wajumbe wa CDM wamekubali kumchagua bw. Joseph Kashindye ambaye kwa kipindi chote kabla ya uchaguzi huu mdogo amekuwa akimuhakikishia rostam aziz anapita bila kupingwa kwa kutumia nafasi yake ya uratibu wa elimu wa wilaya kwa kumtengenezea network imara ya walimu..

Swali gumu ambalo wana chadema wanatakiwa kujiuliza kama huyo jamaa anakubalika kwa nini sasa alikiacha chama kikashindwa kusimamisha mgombea katika uchaguzi mkuu uliopita, ukweli ni kwamba huyu jamaa ni swahiba mkubwa wa mgombea aliyenunuliwa na rostam mwaka jana na kuacha kusimamisha mgombea...

TAHADHARI.
Wakati wana CHADEMA tunahaha kutafuta jinsi ya kumzuia bwana SHIBUDA kutualibia chama chetu leo namwona SHIBUDA mwingine anayekuja kwa upande wa pili tena afadhali SHIBUDA yeye alifanikiwa kukabidhi kadi ya magamba kwa CDM mbele ya Kamanda MBOWE kuliko huyu mbunge mtarajiwa ambaye magamba yanatamba kuwa ni mali yao na tayari wameshamaliza kazi ...

wana Igunga wanakumbuka jinsi bw. Kashindye alivyokuwa akifanya vikao na walimu wa shule za msingi kipindi Dr Slaa anagombea urais kwa kutumia nafasi ya uratibu/ukaguzi kuwashawishi walimu wasimuunge mkono KWA KUWA AMEPORA MKE WA MTU (JOSEPHINE MSHUMBUSHI) na kwamba hana sifa za kuwa FIRST LADY kwa kudai eti naye ni mwizi wa mume wa mtu...eti ni UFISADI WA MAPENZI..Kazi ambayo KASHNDYE aliifanya kwa maelekezo ya Rostam ili kumsaidia baba ridhiwani ashinde.

swali lingine ni kwamba ni lini aliwahi kujitokeza hadharani kuomba radhi ama kukanusha hizi tuhuma zilizojaa midomoni mwa wadau wanaoitakia heri Igunga?... wakati tunasubiri kuona nini hatma ya matokeo ya mchakato huu wa kufurahisha...
Naanza kuliona ANGUKO KUU LA CHADEMA IGUNGA....

Kweli CCM NI KIBOKO YAO!!!!!!....​

WAKUU TUWAOMBEE DUA CHADEMA WAVUKE SALAMA NGWE HII...

Kutoka kwa watazamaji tulio nje ya eneo la tukio, naomba kuwasilisha.

Nayapinga mawazo yako kwani uamuzi wa kuchagua wanao watu Waigunga huna sababu ya kuwaingilia. Wakitaka kuchagua vinginevyo wewe nini kinakuhusu au umebaini kuwa jamaa ni tishio? Suala la kusema alikuwa kwenye chama cha Magamba na hivyo atakuwa mfano wa Shibuda haina maana kwani ni wangapi hawakuasi toka chama cha magamba? Akienda CHADEMA anatekeleza sera na ilani ya CHADEMA kama hataki chama kitaamua.

Kwa maana hiyo, suala lako hilo la uchochezi au la kutaka kumpaka matope likome na liishie hapo. Yumkini ilikuwa kweli kuwa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana alikuwa akiipinga CHADEMA bado si kipimo tosha. Ni wangapi ambao walisema Kikwete ni chaguo la Mungu na leo wanamtukana hadharani kama mbwa?

Waachie wenyewe Wanaigunga waamue.
 
ukweli mzuri lakini ni mchungu!!!!!!!......hapa inabidi tujadili hoja wala hakuna haja ya kubadilisha agenda kuwa fulani ni CUF fulani ni CCM swala hapa ni kwamba CHADEMA wanaelekea kuingizwa mkenge IGUNGA sasa tushauriane jinsi ya kuwakomboa!!!! na sio vinginevyo.....
TUJIFUNZE KUSIKILIZA HATA TUSIVYOVIPENDA KUVISIKIA...
 
Kifo cha mende wewe ni magamba damu na hii inaonesha wazi kwamb kashindye anawatisha cdm msibadili mtu mwingine mwacheni huyuhuyu tu
 
kifochamende, don't be too pessimistic in life.<br />
Kwanini kila mara ufikirie kusalitiwa tu. Jipe moyo<br />
kila kitu kinawezekana...
Ikiwa hilo ni neno kwanini nasi tusikuchukulie kuwa umetumwa na magamba kuleta habari hizi kwa maslahi ya magamba na ww binafsi?
 
Dah kweli chadema kiboko, yaani kila chama kinakipinga ccm b,tlp,magamba, ppt maendeleo nk Kweli CHADEMA TISHIO.
 
Japo hoja zina mtazamo wa kimagamba panahitajika umakini yasije yakawa ya SHIBUDA.
 
Wakati mwingine kinachotakiwa ni ushindi wa chama, hataka ametoka ccm na hana makuu, anachagulika, ni mtamzania yatotosha
 
Hatari hapa ni ipi ?Kwamba atajitoa na kumwacha Kafumu kupeta au ni uoga gani ?Kama mgombea hatajitoa basi ngoma itakuwa pevu maana ataongea jukwaani na Chadema watasimama tu hatuwezi kuwahisi watu kila mara na kuanza kuwapa ubaya .Look here wakuu leo tuna watu makini kama Slaa wote wametokea CCM na leo ndiyo roho na waokozi wa Tanzania yangu .Mpeni mwalimu nafasi na ipeni Chadema support tuache akili za Ma CCM tuendelee mbele.Kafumu si msemaji jukwaani .I met the guy na katika maongezi niligundua mengi sana .
 
..kulinganisha kipindi Dk Slaa anahama ccm kwenda CHADEMA ni tofauti na sasa ndg yangu! ccm ni mufilisi kwa hoja na ustadi wa kubuni na kutenda mema lakini ni hodari kwa hujuma na mambo kibao yasiyofaa kwa jamii..kama kuna mlango wa kuhujumu vyama makini vya siasa kwa kutengeneza mamluki huu ni mmojawapo! hasa kipindi hiki ambacho hawana njia zingine zinazoweza kuwahakikishia ushindi kwny chaguzi!!! inaelekea wengi hatuwajui ccm kwa undani tunachukulia mambo reja reja tu!

Lakin hata kwa kusoma makala chache tu kuhusiana na hoja hii iliyoletwa juu ya Bw. Kashindye ni rahisi kwa mtu anayefuatilia siasa za tz kujua kuna mushkeli na hivyo CDM wawe waagalifu sana kuamua nani agombee!
 
Hahahaaaaa

Hebu nenda tena kwenye shule ya usanii mkuu. I think you are missing very important ingredients kuwa msanii japo mdogomdogo..
in-short CHADEMA IS DEAD!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo la cdm ni kuokota wagombea kashindye ni kirusi kilicho tengenezwa na magamba, ni zaidi ya shibuda na kama mnabisha subiri mtaona kama atamaliza uchaguzi, mnaletewa mamluki mnawakumbatia.
 
Wakuu,

Ni kipindi sasa tumekuwa tukifuatilia muelekeo wa uchaguzi kule igunga baada ya GAMBA kuu kuvuka na tayari jana vyama vikubwa vya siasa vimefanya kura zake za maoni...

Cha kufurahisha ni taarifa za kiintelijensia kuwa wajumbe wa CDM wamekubali kumchagua bw. Joseph Kashindye ambaye kwa kipindi chote kabla ya uchaguzi huu mdogo amekuwa akimuhakikishia rostam aziz anapita bila kupingwa kwa kutumia nafasi yake ya uratibu wa elimu wa wilaya kwa kumtengenezea network imara ya walimu..

Swali gumu ambalo wana chadema wanatakiwa kujiuliza kama huyo jamaa anakubalika kwa nini sasa alikiacha chama kikashindwa kusimamisha mgombea katika uchaguzi mkuu uliopita, ukweli ni kwamba huyu jamaa ni swahiba mkubwa wa mgombea aliyenunuliwa na rostam mwaka jana na kuacha kusimamisha mgombea...

TAHADHARI.
Wakati wana CHADEMA tunahaha kutafuta jinsi ya kumzuia bwana SHIBUDA kutualibia chama chetu leo namwona SHIBUDA mwingine anayekuja kwa upande wa pili tena afadhali SHIBUDA yeye alifanikiwa kukabidhi kadi ya magamba kwa CDM mbele ya Kamanda MBOWE kuliko huyu mbunge mtarajiwa ambaye magamba yanatamba kuwa ni mali yao na tayari wameshamaliza kazi ...

wana Igunga wanakumbuka jinsi bw. Kashindye alivyokuwa akifanya vikao na walimu wa shule za msingi kipindi Dr Slaa anagombea urais kwa kutumia nafasi ya uratibu/ukaguzi kuwashawishi walimu wasimuunge mkono KWA KUWA AMEPORA MKE WA MTU (JOSEPHINE MSHUMBUSHI) na kwamba hana sifa za kuwa FIRST LADY kwa kudai eti naye ni mwizi wa mume wa mtu...eti ni UFISADI WA MAPENZI..Kazi ambayo KASHNDYE aliifanya kwa maelekezo ya Rostam ili kumsaidia baba ridhiwani ashinde.

swali lingine ni kwamba ni lini aliwahi kujitokeza hadharani kuomba radhi ama kukanusha hizi tuhuma zilizojaa midomoni mwa wadau wanaoitakia heri Igunga?... wakati tunasubiri kuona nini hatma ya matokeo ya mchakato huu wa kufurahisha...
Naanza kuliona ANGUKO KUU LA CHADEMA IGUNGA....

Kweli CCM NI KIBOKO YAO!!!!!!....&#8203;

WAKUU TUWAOMBEE DUA CHADEMA WAVUKE SALAMA NGWE HII...

Kutoka kwa watazamaji tulio nje ya eneo la tukio, naomba kuwasilisha.

Kimtazamo hoja zako zinaonyesha kuwa huyu mwalimu ni tishio kwenu. Anzia kapeni za Igunga zimeanza mnakifuata sana chadema lakini chadema wapo mwendo mdundo na wamewakamata. Sasa mnaona watu wenu hawawezi kufua dafu kwa huyu mwalimu mnaanza mambo ya SHIBUDA. Ninawapongeza sana chadema ni watu wenye mtizamo wa kuona mbali na wanashaurika. Hapa kwa mwalimu wapo safi na ninaunga mkono, ninadhani kama anafanya kazi huko Igunga vijana watamuunga mkono tu.
 
Back
Top Bottom