Uchaguzi Huooooooooo unanukia

Joined
Sep 18, 2009
Messages
7
Likes
0
Points
3

zkambele

Member
Joined Sep 18, 2009
7 0 3
Haya sasa uchaguzi wakaribia!! Sijui tutegemee nini!! Maranyingi wananchi wanarubuniwa ili kuwapigia watu fulani kura na hasa kwenye kura za maoni! sijui mwaka huu itakuwaje. Siasa za namna hii zitakomeshwaje? Na viongozi wanaorubuni wananchi wanakuwa na maadili kweli katika utendaji wa kazi!!

Ungekuwepo uwezekano wa kuelimisha wananchi wote Tanzania ingesaidia sana. Kuna viongozi wengi baada ya kupata kura basi wanajisahau na hawafanyi chochote. Hata kama kuna atakayesema hapaan lakini najua wapo ndo maana kila siku makelele.

Tutafika?? Tutafikaje?? Tujadili!! Rasilimali za kutuinua kiuchumi tunazo! kinachotukwamisha ni nini!!! Uongozi? Tujadili! Tujadili.

Tanzania yetu!!

Mtanzania (Mkulima)
 

Forum statistics

Threads 1,190,580
Members 451,229
Posts 27,675,890