Uchaguzi Congo waahirishwa kwa miaka miwili

Uchaguzi Congo waahirishwa kwa miaka miwili

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
102,675
Reaction score
126,914
Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinasema kuwa tume huru ya Uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utaandaliwa Novemba mwaka wa 2018 na wala sio mwaka huu kama ilivyotarajiwa.

Viongozi kadha wa upinzani walioshiriki katika mazungumzo ya amani ya kitaifa wameafikiana na uamuzi huo, lakini kuna wale wanaoupinga wakisema ni njama ya Rais Joseph kabila kusalia madarakani.

Mwandishi wa BBC Mbelechi Msoshi anaripoti.

Chanzo: BBC
 
They will kill this man like how they killed his father. Kuna conflict of interest katika suala la power sharing.
 
Cheating in politics is common all over the world. Russia, Afghanistan, Pakistan, Syria, Saud Arabia etc etc are a few of them.
To say only in Africa is not fair. What could be said is strong advocacy in democratic election and observancy of democraticaly instituted constitutions for all nations to be emphasized.
.
 
Sasa ndio watatoana roho mweh! Kwa nini kumwaga damu kwa wasio na hatia? Africa ina Safari ndefu sana.
 
jamaa kaja kujificha huku congo nako kuna nkurunzinza,rwanda na cuf
 
Damu hapo zitamwagwa kama maji ya MTO ruvu halafu watajitokeza waafrika wenye fikra kama profesa lipumba kuipinga mahakama ya kimaTaifa ICC
 
aliekua rais wa afrika kusini yamkaburu P.Botha aliwahi kusema mtu mweusi hawezi Kujitawala wala kupanga malengo ya mwaka mmoja...... sasa ndio naelewa alichokua akikimaanisha, ina maana tume ya uchafuzi Congo ilikua haijui kua mwaka2016 kutakua na uchaguzi?.
 
Jana haka kajamaa Kabila kalikuwa Tanzania kama mgeni wa JPM, sasa sijui huu ushauri kamepata pande hii!?
 
aliekua rais wa afrika kusini yamkaburu P.Botha aliwahi kusema mtu mweusi hawezi Kujitawala wala kupanga malengo ya mwaka mmoja...... sasa ndio naelewa alichokua akikimaanisha, ina maana tume ya uchafuzi Congo ilikua haijui kua mwaka2016 kutakua na uchaguzi?.
Acha nionekane nijidharau lakini ndio ukweli hata nikipigwa mawe, Afrika haitaendelea mpaka kiama labda tukubali kuchanganyika na wazungu.
 
jamaa kaja kujificha huku congo nako kuna nkurunzinza,rwanda na cuf
Mkuu Rwanda played nafasi kubwa sana kwa his late father kuingia madarakani. Baada tu ya kuwa rais mzee akavunja some sensitive agreements juu ya role ya wanajeshi wa Rwanda ikiwemo power sharing kwa wale ambao ni Rwanda by original ila walibaki na kuwa raia wa Congo..aliwatimua almost wote na suala la matarajio ya Rwanda kunufaika na rasilimali za congo likafa so those waasi wakazaliwa na first mission wakamuua kwanza mzee kabila. Ingawa walikamatwa akiwemo his bodyguard (ADC) na kuhukumiwa kunyongwa ila walitoroshwa gerezani na wanaishi exile. Hili kundi bado linakisasi na utawala huo.
 
Obama alivokuja kenya then akaenda ethiopia nadhan kwenye mkutano uliojumuisha mataifa mbalimbali alisema wazi kua baadhi ya viongozi afrika ni vichaa na hua anawashangaa wanapong'ang'ania madaraka ina mana hawana mambo mengine ya kufanya wakat ambapo wanatakiwa waondoke madarakani na kupisha wengine?? "I dont understand these african leaders"....aling'aka President Obama mbele ya maafisa wa jumuiya za kimataifa ...anasema yeye anataman hata kesho amalize muda wake ili aweze kukaa vizur na familia yake na kufanya mambo mengine na kucheza golf ...lakin hua anawashangaa hawa watawala wa afrika wanaokaa madarakani kwa muda88 mrefu....."whats so special about being president that make you stay for such long time?"... aliuliza Obama....
 
Back
Top Bottom