Uchaguzi bungeni umetoa Funzo

Uchaguzi bungeni umetoa Funzo

Joined
Mar 1, 2012
Posts
29
Reaction score
10
Watoto wa maskini hawana chao nani anakujua?Elimu ya mtoto wa maskini anaipatia kwenye shule za kata Saint Kayumba atazungumza Kingereza kipi wakati huko hakuna taaluma?Mgombea anapaswa awe na sifa kama Haiba,Mvuto,Bashasha,msomi,Anayejiamini,Social na pia awe na vijisent vya kutafuta uongozi na zaidi awe ni mtoto wa KIGOGO except wa Malecule,KURA zilitolewa kwa kujuana na kikanda badala ya uwezo .Pia ndoa ya CCM na CUF inaimarika .HONGERENI mlioshinda mtuwakilishe vema.Bunge pia badilisheni taratibu zenu za namna ya kupata wabunge wa jumuia hii ili kuondoa lawama.
 
usihofu!wale wa sant kayumba wamepanga kujikomboa 2015.
 
.Pia ndoa ya CCM na CUF inaimarika .
ndoa ipi ilioimarika katika kundi lile la upinzani ukimtoa kessy wenye uwelewa wa mambo kujiamini na uzoefu katika mambo ya kisheria na aliejieleza vzr ni nani jibu na twaha taslima kaka CDM walipeleka mtu sie asiejua ata kujieleza CUF walistahiri kutokana na mgombea mwenyewe kujiuza
 
MAKONGORO NYERERE KASHINDA KIHALALI. Labda huyo wa Mwinyi na Le Mutuz Ze Baharia!
 
MAKONGORO NYERERE KASHINDA KIHALALI. Labda huyo wa Mwinyi na Le Mutuz Ze Baharia!

Huyo wa Mwinyi kaonyesha uwezo mkubwa wa kujua mambo. Le Mutuz ni timing tu, ila ni mzuri kajiwekea mazingira ya kuchaguliwa mbeleni asikate tamaa, afuate nyayo za Shyrose mbele kwa mbele kukatako! tamaa mwiko
 
hata cdm wangemwe
ka nani kwa
jinsi tunavyoijua
wasingeshinda
acheni kufikiria
kwa makalio!
ccm was
 
Kweli leo nimeshangaa bunge la Tanzania kumchagua Angela Kizigha na kuwaacha Janet Mbene na Janet Mmari.
 
Back
Top Bottom