Uchaguzi 2020: Agenda kuu ni mbili tu (2)

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Salamu kwa wote watanzania.

Katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi 10 mwaka 2020 kutakuwa na agenda kuu mbili tu.

Tanganyika ( Bara )

Hapa kutakuwa na agenda ya Ajira kwa vijana.

Zanzibar ( Visiwani )

Hapa kutakuwa na agenda ya Muungano wa jamuhuri.

Sasa hizi agenda zikichukuliwa poa mjiandae kulia na kusaga meno.

Karibu!
 
Ajira zinakuja 40,000 sio muda mrefu,unataka nini tena zaidi ya ushindi Wa 99.5%
 
Mimi ninaona hizo kampeni ziwe za Wabunge na Madiwani ili kuokoa fedha za walipakodi.

Hakuna haja ya kupoteza muda na resources kwa posts ambazo mshindi anajulikana.

Ninafikiri huo ndio uzalendo.
 
Mimi mpiga kura ajenda zangu ni:-

1. Utawala unaoheshimu sheria na katiba ya nchi ukiongozwa na hofu ya Mungu
2. Kuzingatia haki za kibinadamu kwa mujibu wa katiba.
3. Kuheshimiana kwa mihimili Kama ilivyo kikatiba.
4. Kuwe na ushahidi wa afya za wagombea
 
Hui
Mimi ninaona hizo kampeni ziwe za Wabunge na Madiwani ili kuokoa fedha za walipakodi.

Hakuna haja ya kupoteza muda na resources kwa posts ambazo mshindi anajulikana.

Ninafikiri huo ndio uzalendo.
[/QUOTE
Huo ni uoga mshindi aogopi ushindani
 
"Watanzania mkifanya ujinga kuipuuza amani rais ataelekeza pesa zote kununulia mabomu na marisasi na hakutakuwa na ujenzi au ukarabati wa shule,hospital " Lugola kwenye hotuba yake ya mwisho
 
Magu hata akishindanishwa na jiwe hawezi kushinda keenye uchaguzi wa huru na haki!
 
Wakati huu kabla ya uchaguzi ajenda ziwe mbili kuu.
1. Jiwe asigombee, kama rais ameliangusha taifa
2. Tume huru.
 
Ajira zinakuja 40,000 sio muda mrefu,unataka nini tena zaidi ya ushindi Wa 99.5%
Kwa mtazamo wangu Hizo kazi vijana chukueni lakini msisubutu kuadhibiwa miaka minne iwalaghai kuwapigia kura viongozi wanaowafaa maana ni dhahiri mkapewa kazi wakati wa kampeni lakini mkanyanyaswa ktk uongozi wake kama watumishi wanavyonyongwa na sera kandamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom