Uchaguzi 2015 utaisha salama?

Uchaguzi 2015 utaisha salama?

Naboti

Senior Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
188
Reaction score
48
Habarini wanaJF

Nimepata mshtuko baada ya kukutana na watu wasiopungua watano ndani ya siku mbili wakisema uchaguzi wa mwaka huu hautakuwa salama hivyo hawataenda kupiga kura kwa kuogopa mabomu.
Tambua kuwa kupiga kura ni haki yako kama mwananchi wa Tanzania hivyo huna buni kwa hali yoyote kupiga kura ili kupata kiongozi bora ambaye unamtaka.
Cha ajabu ni kuwa wanosema hawapigi kura manung'uniko nimengi kuhusu viongozi ukiwambia wakapige kura hawataki sasa unashindwa kuelewa hawa ni waTanzania wa aina gani jamani??
Ndugu zangu nawaombeni pamoja na yote tunayoshabikia tusisahau KUPIGA KURA.
Namalizia kwa kusema; "KURA NI HAKI YAKO KAMA MTANZANIA"
 
Kwanza waambie Hakuna mpiga Kura anapigwa bomu Bali mabomu hupigwa baada ya kupiga Kura! Kama MTANZANIA halisi kupiga Kura ni lazima wala sio ombi
 
Ukweli na Mabadiliko uwa hayapingwi kwa Mabomu Hosni Mubara wa Misri alikuwa na the best Army in Africa lakini muda wa mabadiliko ulipofika jeshi lake halikufua tafu kama mwenzake Col Gadaffi.
 
Mkianza kuandamana bila mpango mtapigwa tu. Na Mimi nasema mpigwe tu.
 
Habarini wanaJF

Nimepata mshtuko baada ya kukutana na watu wasiopungua watano ndani ya siku mbili wakisema uchaguzi wa mwaka huu hautakuwa salama hivyo hawataenda kupiga kura kwa kuogopa mabomu.
Tambua kuwa kupiga kura ni haki yako kama mwananchi wa Tanzania hivyo huna buni kwa hali yoyote kupiga kura ili kupata kiongozi bora ambaye unamtaka.
Cha ajabu ni kuwa wanosema hawapigi kura manung'uniko nimengi kuhusu viongozi ukiwambia wakapige kura hawataki sasa unashindwa kuelewa hawa ni waTanzania wa aina gani jamani??
Ndugu zangu nawaombeni pamoja na yote tunayoshabikia tusisahau KUPIGA KURA.
Namalizia kwa kusema; "KURA NI HAKI YAKO KAMA MTANZANIA"

Wewe unaenda unauliza uliza hata usiowajua??? Utaolewa.
 
swagazetu sasa habari za uchaguzi ndo habari za mjini nisiulize ulize jamani??
Ukapige kura
 
Last edited by a moderator:
Kwann watu wanapenda kujiona kuwa hawapaswi kuongozwa?wao wanajiona wana hati miliki ya taifa hili?why??kwann? mwaka huu lazima muongozwe nanyi mjue utii wa sheria bila shuruti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom