Uchaguzi 2015 kwenye net,je itakuaje!

Sep 14, 2011
36
5
nimekupata kaka mi naona itakuwa powa sana maana uchakachuaji utakua 0 ila wa vijijini sijui itakuwaje?
ujue wabongo wanaoumiza vichwa kama jamiiforum, jigambeads, michuzi, tanzaniakwetu, wanaouwezo wa kubadilisha uchaguzi ukawa online na kutufutia huu uchakachuzi,mfano we angalia idea ya kuwaunganisha watangazaji na mapublisher online iliyofanywa na wabongo wenzetu,jaribu kuingia jigambeads uone kama haitowezekana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom