ccm ni chaka la weziu tu,ni dhahifu na imeaza kukosa cha kuwaambia watu...ni wazi ccm hivi sasa ni chama dhaifu kisiasa kuliko wakati wowote katika historia yake. Ni wakati huu kikiwa dhaifu hakina hazina ya viongozi wenye nguvu katika jamii ambao wana uwezo wa kukisemea na kukirudishia uhai kama alivyofanya nyerere baada ya mwinyi kuachia madaraka. Ni chama ambacho kiongozi wake mkuu yeye binafsi na familia yake wanatuhumiwa kuifisadi nchi na takribani wagombea urais wote wana tuhuma za ufisadi. Chama kimepasuka kila kona na ni kama magenge ya mafia yanapigana ili kuchukua nafasi ikulu ili yapate kuiba tena na tena. Mh rais ambaye ndiye mwenyekiti wa ccm ni mgonjwa na kama alivyothibitisha mwenyewe ni kwamba anaumwa kansa,ni dhahiri hatahimili harakati za kampeni tena zaidi ya kuhesabu siku zake na kudra za mungu.ccm hii ndiyo inatuma vijana wake kuwapiga wazee wa chama ambao pengine wangeweza kuubadilisha umma kifikra na kuifikiria ccm kama chama na kwamba waovu wasihusishwe nao na kutoa ahadi ya kuwaondoa katika mbio za urais kama nyerere alivyofanya kwa malecela.warioba kapigwa,salim ahmed salim yuko kimya,mkapa yuko kimya,nchi inafanana na kuku aliyekatwa kichwa,haina mtu wa kutolea majibu masuala ya kitaifa.safari hii wapinzani washindwe wenyewe kwa kuwa ni ccm ambayo imetoa mwaka mzima wa kampeni na elimu kwa umma kwa kuanzia sasa kwenye chaguzi za mitaa,kampeni za bunge la katiba,kura ya maoni,escrow,operesheni tokomeza,mchakato wa uchaguzi na mengine mengi yatasaidia wapinzani kuibana vilivyo ccm na kuinyanganya kura nyingi,
Mwenyekiti atahutubia hivyo hivyo hata akiwa kwenye machela ili mradi pesa ipo tena bilions za kutosha toka ESCROW sasa ya nn tuwe na hofu ya UKAWA,wakati watanzania wenyew wanapenda rushwa sana,tuko tayar kununua kura ya mtu yeyote hata ya mbowe ikibidi
Warioba kapigwa,salim ahmed salim yuko kimya,mkapa yuko kimya,nchi inafanana na kuku aliyekatwa kichwa,haina mtu wa kutolea majibu masuala ya kitaifa.Safari hii wapinzani washindwe wenyewe kwa kuwa ni CCM ambayo imetoa mwaka mzima wa kampeni na elimu kwa umma kwa kuanzia sasa kwenye chaguzi za mitaa,kampeni za bunge la katiba,kura ya maoni,escrow,operesheni tokomeza,mchakato wa uchaguzi na mengine mengi yatasaidia wapinzani kuibana vilivyo CCM na kuinyanganya kura nyingi,
Mwenyekiti atahutubia hivyo hivyo hata akiwa kwenye machela ili mradi pesa ipo tena bilions za kutosha toka ESCROW sasa ya nn tuwe na hofu ya UKAWA,wakati watanzania wenyew wanapenda rushwa sana,tuko tayar kununua kura ya mtu yeyote hata ya mbowe ikibidi
ccm ni kuchwa cha mwenda wazimu.
ccm ni chaka la weziu tu,ni dhahifu na imeaza kukosa cha kuwaambia watu...
CCM dhaifu hiyo hiyo ndiyo imevifanya vyama vya upinzani kuungana kwa vile vinaamini bila hivyo hawakiwezi.Inawezekana ccm ni dhaifu kweli lakini upinzani ni mfu
ni mfu kama wewe UKAWA NI SUMU YA KUISAMBARATISHA SERIKALI YA CCM MADARAKANIInawezekana ccm ni dhaifu kweli lakini upinzani ni mfu
Inawezekana ccm ni dhaifu kweli lakini upinzani ni mfu
Ingekuwa maneno ya mitandaoni yanaua chama CCM ingeshakufa kweli, wananchi ndiyo wanajua umuhimu wa CCM kuliko hiki chama cha REGINALD MENGI na MTEICCM imeshakufa kisiasa maziko yake 2015 watanzania hawawezi kuchagua tena hawa wezi wa ccm tena bado tunataka ccm warudishe pesa zetu Escrow..