Umejibu vyema kabisa..huo ndo ukweliwachaga wengi wanapenda kuzika kwao, hao ambao huwaoni wakenda kwao ni kwamba wanazikana mjini.
hili ndiyo jibu pekee.
Unatumia kinywaji gan mkuu?wachaga wengi wanapenda kuzika kwao, hao ambao huwaoni wakenda kwao ni kwamba wanazikana mjini.
hili ndiyo jibu pekee.
Bangi.Unatumia kinywaji gan mkuu?
Unatumia kinywaji gan mkuu?
Naomba facebook ya bariiidi!Unatumia kinywaji gan mkuu?
Hiki nadhan kwa makabila yote hada vijijini huwa hawaziki kwenye makabuli ya jumuiya..Wachagga hatuna utaratibu wa Makaburi ya Jumuiya(Pamoja) ....Utamaduni huu wa makaburi ya jumuiya ulijaribu kuletwa na Wamisionari ila walifua dafu...Walijaribu kutenga meneo ya kanisa kama eneo la maziko ila mwisho wa siku walikuwa wanazikwa Mapadre, mssista na Wachungaji..
Wachagga utamaduni wetu ni wakuzikwa nyumbani ....Yani Shamba unakuta lina eneo kwa ajili ya Wazazi na eneo kwa ajili ya watoto....
Ni Wachache sana huzikwa kwenye makaburi ya Jumuiya......
labda kwa sababu tumetawanyika sana halafu wengi wanataka wazikwe kwao ndiyo maana misiba aishi masikioni tofauti labda na makabila mengine
Well said, umemaliza kila kitu binti wa kichaggalabda kwa sababu tumetawanyika sana halafu wengi wanataka wazikwe kwao ndiyo maana misiba aishi masikioni tofauti labda na makabila mengine
Na jingine ni kwamba, wachaga wametapakaa pote Tanzania, wako kila mahali, na hiyo desturi ya kuzika kwao, lazima hizo ruti ziwe nyingi.wachaga wengi wanapenda kuzika kwao, hao ambao huwaoni wakenda kwao ni kwamba wanazikana mjini.
hili ndiyo jibu pekee.
kaisa ila amepata jibuHakika hujapoteza asili miss chagga! Wachagga wapo kila kona ya nchi hii, wachagga hupenda kuzikwa kwako, na wachagga wako tayari sana kuchangiana kusafirisha maiti kupelekwa uchaggani! Halafu mtu uwe njia kuu kama Mombo/Korogwe uache kuona misafara yao? Au mtoa mada una agenda ya ziada na hawa watu?
So ni endanger tribe?Hiki nadhan kwa makabila yote hada vijijini huwa hawaziki kwenye makabuli ya jumuiya..
Nadhan muda ndio utakao twambia,
Huko vijijini kukiendelea huwez zika mtu kwako ila inakubd uzike kwenye makabuli ya jumuiya
Kwa mfano mzaramo alie zaliwa na kukulia mazense au msafwa alie zaliwa na kukulia mwanjelwa au msukuma alie zaliwa na kukulia sengerema..watazika kwenye shamba lipi..??
So hata huko uchagani muda ndio utazungumza
Kubalini tuu hao wanakufa balaa,maana hata kusingizia wanatabia ya kuzika kwao hata afe dar..hiyo ni almost makabila yote yanatabia hiyooo