Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,268
- 1,652
Mimi sitokei kanda ya ziwa ,ila suala la ukabila haliendeshwi na wasukuma, tatizo kubwa ni watu wa Kaskazini kujidanganya wao ni special hapa Tanzania , wana elimu na wameendelea , na ndio hao hao wanaopinga utawala wa Magufuli hata kama anafanya mazuri, in general 80% yao ndio wanaendekeza ukabila kwa makabila mengine , wajitapa wameendelea hivi Moshi au Arusha imeendelea kuliko Mwanza? ok Mnaelimu kushinda makabila yote na ndio mmejazana serikalini kwa nini efficiency ya Govt isiwe nzuri? mbona hatuendelei nyie magenious mko humo?, hakuna special tribe Tanzania na elimu zetu wote ni average tu.