Uchaga na ukabila hautusaidii, tujifunze sisi watu wa Kanda ya ziwa

Mimi sitokei kanda ya ziwa ,ila suala la ukabila haliendeshwi na wasukuma, tatizo kubwa ni watu wa Kaskazini kujidanganya wao ni special hapa Tanzania , wana elimu na wameendelea , na ndio hao hao wanaopinga utawala wa Magufuli hata kama anafanya mazuri, in general 80% yao ndio wanaendekeza ukabila kwa makabila mengine , wajitapa wameendelea hivi Moshi au Arusha imeendelea kuliko Mwanza? ok Mnaelimu kushinda makabila yote na ndio mmejazana serikalini kwa nini efficiency ya Govt isiwe nzuri? mbona hatuendelei nyie magenious mko humo?, hakuna special tribe Tanzania na elimu zetu wote ni average tu.
 
Soma hiyo ukiendelea kubisha nakuwekea ripoti yote yenye hiyo mikoa kwanzia wa kwanza hadi wa mwisho
Kiufupi mkoa unaoongoza ni dar kwa 92% ikifuata na kilimanjaro kwa 90%
Yaani kilimanjaro 90% wana maisha boraView attachment 1309514

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi watu mmeenda shule kweli? Kwanza ulichoniletea hapa sio takwimu, ni Maneno tu yasiyokuwa na data, pili hata huyo uliyochukuwa kwake ni kiazi tu, anashindwa kutofautisha mkoa wa Mwanza na jiji LA Mwanza, ukichukuwa Mwanza kama jiji pekee there's no way mkoa wa Kilimanjaro ukauzidi maendeleo au hali ya kimaisha, mkoa wa Mwanza ni zaidi ya Jiji LA Mwanza a.k.a Rock City
 
Mimi sitokei kanda ya ziwa ,ila suala la ukabila haliendeshwi na wasukuma, tatizo kubwa ni watu wa Kaskazini kujidanganya wao ni special hapa Tanzania , wana elimu na wameendelea , na ndio hao hao wanaopinga utawala wa Magufuli hata kama anafanya mazuri, in general 80% yao ndio wanaendekeza ukabila kwa makabila mengine , wajitapa wameendelea hivi Moshi au Arusha imeendelea kuliko Mwanza? ok Mnaelimu kushinda makabila yote na ndio mmejazana serikalini kwa nini efficiency ya Govt isiwe nzuri? mbona hatuendelei nyie magenious mko humo?, hakuna special tribe Tanzania na elimu zetu wote ni average tu.
Binafsi nawashangaa sana, kuna mmoja nimemuuliza what's so special kuhusu hayo maendeleo, hivi Moshi imeendelea nini kuzidi Jiji LA Mwanza? Pili hamna cha maana kuendeleza majigambo, watu wa kaskazini wanapenda sana wao waonekane special kama wana wa Israeli, yani kuwahi kupata elimu wanafikili wengine hawatawafikia, na ndio wao wanaomchukia MAGUFULI kutwa Kucha wanamshambulia kwenye mitandao ya kijamii!!
 
Hawafikiri wao ni waisraeli bali ni ukweli uliopo, wengine wakija kufikia walipo sasa basi wao watakuwa a milion times far,maendendeleo syo maneno bali kujitumikisha na kujitumikisha kwa kutumia akili, syo kutumia migufu ya maugali.
Kamwe hatua yenu moja mbele haiwezi kuwakuta hao wachaga,
Ni kabila teule kama waisrael, hutaki kunywa sumu hakuna jinsi.

Ukiniuliza mimi kama kuna watu wa kushughulikiwa ni hao wanaoleta mgawanyilo kwa sura ukabila.
 
Hawafikiri wao ni waisraeli bali ni ukweli uliopo, wengine wakija kufikia walipo sasa basi wao watakuwa a milion times far,maendendeleo syo maneno bali kujitumikisha na kujitumikisha kwa kutumia akili, syo kutumia migufu ya maugali.
Kamwe hatua yenu moja mbele haiwezi kuwakuta hao wachaga,
Ni kabila teule kama waisrael, hutaki kunywa sumu hakuna jinsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu nieleze hayo maendeleo ambayo Kilimanjaro wanayo kuzidi Mwanza, hebu yaeleze hapa tuyaone? Mmekalia mambo ya kishamba majigambo! Haya sasa hao mnaowaona washamba ndio wameshika serikali, subiri uone hayo maendeleo, si unaona mnavyoondolewa mdogo mdogo kwenye system? Kama unajua mwenye dola ndio mwenye nguvu kafuatilie kwann wakikuyu waliendelea, SGR inaenda, madaraja makubwa, kuna mpango wa chuo kikuu, uwanja Mkubwa wa ndege na bado 2025 Rais atatoka huko huko kwa washamba then jipime after 20 years hao washamba watakuwa wapi na nyie mko wapi? Au haujasoma mchezo washamba ndio wana run government? Na ndio wengi ? Na wataendelea kuwa hivyo? Mngekuwa smart mngekamata dola kama wakikuyu tuwaone!
 
wasukuma wanaiharibu nchi hii tangu ameingia huyu bwana kila kona ni ukabila ukabila ukabila nchi inaendeshwa bila sheria, ubabe ubabe usio na mantiki kamata kamata teka teka watu mpaka mnaboa kweli
Usi-generalise "wasukuma" wanaiharibu nchi. YALE YALE WANAYOSEMA "WACHAGA" WAMEJAZANA MAOFISINI-NI UBAGUZI,UKABILA,CHUKI NA USHAMBA! Mbona hujasema enzi za kina Mtei,Mramba,Yona,Msuya na wengineo walivyokuwa wanapendelea maeneo ya kwao kwa miradi kede kede kuwa walikuwa wanaharibu?. Tusifukue makaburi lakini tuache kupakaza. Magufuli ni yeye na si wasukuma wote.Kama kuna wasukuma wanamuunga mkono ni sawa na jinsi A. MWANRI ANAVYOJIKOMBA!
 
Binafsi nawashangaa sana, kuna mmoja nimemuuliza what's so special kuhusu hayo maendeleo, hivi Moshi imeendelea nini kuzidi Jiji LA Mwanza? Pili hamna cha maana kuendeleza majigambo, watu wa kaskazini wanapenda sana wao waonekane special kama wana wa Israeli, yani kuwahi kupata elimu wanafikili wengine hawatawafikia, na ndio wao wanaomchukia MAGUFULI kutwa Kucha wanamshambulia kwenye mitandao ya kijamii!!

Jamaa wanachukia mbaya Magufuli hadi wanamhusisha na kabila lake la usukuma, nyie ni educated kwa nini mna intertain tribalism in the country?

Tanzania kwa sasa kila sehemu kumeamka, miradi ya maji, barabara na umeme ,elimu za kata zinawafikia wananchi, tena wasukuma kuna miji yao mingi tu ina hadhi ya kuwa mkoa mfano kahama, masukuma yale yanafanya kazi makulima ,wafugaji na wajihusha na madini yanapesa na wapeleka watoto wao shule tofauti na zamani same na makabila mengine , kuendelea kujidanganya eti kaskazini kumeendelea kuliko Mwanza ni kupoteza muda , nimekaa Arusha, Moshi ,Mwanza,Dar, Lindi ,Zanzibar,Mtwara ,kigoma, na Mbeya etc ukweli ni kwamba watu wa kaskazini mko na sifa nyingi kuliko uhalisia , hata biashara mnazo fanya ni same tu ambazo watanzania wengine wanafanya.
 
India hapaView attachment thdr2017swsummary.pdf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbogo nyeusi, Wasukuma kwao ni kuswaga ng'ombe tu hata hali ya hewa ya mikoa hiyo ni ya ajabu ndo maana sasa hivi kuna wimbi kubwa la wasukuma kuhamia mikoa mingine sasa wakiendekeza ukabila watarudishwa mikoani kwao na ng'ombe zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga si wabaguzi ila wachaga wako aggresive mda wote kwenye kutafuta hela.

Moshi ni kamji kadogo sana kwao, hata wao wenyewe hakawatoshi ndo maana wametapaka kila kona wakitafuta kipato.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nooo! Moshi ni mji tosha. Tatizo ni biashara ya kikabila hata wakiwa Moshi. Kibosho wanakuja mjini kununua bidhaa kwa duka la mkibosho mwenzao, Marangu hivyo hivyo, Mmachame likewise. Sasa hapo utafika wapi na biashara ya aina hiyo?

Wanakimbia kwenda mikoa mingine wapate soko wakati wao hawaendi maduka ya wengine.Wabaki huko huko na ukabila wao. Ukabila hadi maji ya Kunywa? Nilikuwa Mwanza kuna hoteli za wachaga hawataki kuweka maji ya aina nyingine kwa ajili ya wateja. Wao ni Kilimanjaro tu! Tunawaona ni wapuuzi tu! We have to say it openly ili waache.
 
Wachaga ndo kabila namba moja kwa ubaguzi TZ, eti aggressive kutafuta pesa mngekuwa hivyo moshi ingekuwa jiji TZ , achaneni na ukabila Mjichanganye na wtz wengine to realize more opportunities, karne hii wamebaki wachaga tu kuhubiri ukabila Tanzania. Halafu wanajidanga kila siku eti wao asili yao ni wakikuyu which is wrong asili ya wakikuyu ni w central part of Kenya while chagas ni either migrants from mout meru yaani wameru ,wameru ni tofauti na Kikuyu na ni minority in Kenya, achaneni kucopy ukabila nchi jirani will not work in Tz.
 
Mbogo nyeusi,

Kwa tabia na kihistoria, Wasukuma "halisi" si watu wa kujadili makabila ya watu au vitu vya kijinga kama ninavyovisoma humu, hasa vikiongozwa na kikundi cha "Wasukuma uchwara" wanaojifanya wanamtetea Rais, ambaye naye kwa tabia na hata kwa historia, ni "Msukuma uchwara wa kuja".

Ngosha wenyewe wa ukweli wako so cool. Hawana shida na mtu. Wameoa sana uchaggani. Wameoza sana uchaggani. Wameishi na wachagga tangu enzi za mkoloni. Wamechimba madini na wachagga, wamefanya bishara na wachagga, na Wasukuma wa kweli wanajiamini, hawana visasi, si makatili, na hutawasikia wakijadili ujinga wa kishamba kama ninaousikia humu. Ukiona kuna watu wanaojiita Wasukuma humu na wana promote ukabila, na hasa kushambulia wachagga au watu wa Kanda ya Kaskazini, basi jua hao ni "Wasukuma-kujipachika" kama Rais wao tu alivyo. Si wale "wajigajiga" wenyewe akina mami wa Shinyanga, Mwanza, na Tabora.

And that's just another FACT that is made abundantly clear by experience and history.
 
Wo shi niubi,
Unafikili watakuelewa? Wanajiona wana wa Israel, wewe wasifie wambie wana akili kuliko makabila yote, wanamipesa kuliko makabila yote, mkoa wa Kilimanjaro hauna umasikini, barabara za lami kama masaki! Hapo mtaelewana! Yani wewe wasifie tu! Inawauma sana Magufuli kuongoza nchi. Wakitaka kueneza chuki kila siku kushambulia wasukuma sana sana watapoteza wao! Ukabila ukikolea wataumia wao, we have more resources kuliko wao, tuna maeneo yana Mali kuliko Kilimanjaro, tuko wengi kuliko wao. Waendelee tu chuki zao.
 
Back
Top Bottom