Uchafuzi wa mazingira-tena bila aibu!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
View attachment 61246
Nilikuta hii Barabara ya Sam Nujoma(wengine wanaita Cocacola Rd), jamaa hawa bila aibu toka hicho kiwanda cha Printing wakimwaga rangi au mabaki ya rangi katika mtaro wa maji ya mvua.

Hatuna adhabu ya kuwapa, ni kuwa expose tu.
Huyo kijana alipoona nachukua picha akageuza sura na mmoja akakimbilia ndani ila hawa wawili hawakuweza kuacha vifaa.
 
Mmmmhhh acha wamwage bwana nchi si iko mikononi mwa dhaifu wetu na ndugu zake wote.......
 
Back
Top Bottom