Uchafu wa wahudumu wa Ununio Beach

Uchafu wa wahudumu wa Ununio Beach

sio hiyo beach yetu inaitwa kidedi, ila siku hizi ilishakufa.

I was there once alinipeleka dogo mmmoja anaitwa chacha, ni dereva wa bodaboda. Swanga wenyeji bado ipo mkuu?
 
mmmh everywhr ni dating tu.....berber shop majanga....beach nako majanga....hii kitu hii.
 
beach za ununio zimekaa kingono ngono tu unategemea nini!
mahaba beach
Patamu beach
 
Marafiki zako walikuwa wanafurahia cha kwenye maji


sijawahi ila nisingekua makin angenitafuna miaka kadhaa iliyopita wakati nasoma tulikua tunaenda Cocobeach baadae nikaamua ngoja leo nijifunze kuogelea maana naonaga wenzangu tu... akaja huyo kaka na boya lake ilikua 300 nikampa huyo tukazama ndani.... niko na ka swimming costume tu wowowo nje... tukaanza vizuri ananipeleka kwenye kina kirefu muda si muda nikaona kitu kigum chanipapasa mmh nikashtuka nikamuangalia usoni msela katulia.. nikajisemea labda samaki kanigusa

khe motion zika change kitu kigum kikazidi kunigusa nikasema ngoja nishike nione ni nini lahaula nikashika muwa wake....umesimama wima wima.

ikabidi nianze kumwambia anirudishe alikonitoa anasema we tulia.. nikaanza kupiga kelele anirudishe.... alivyoona makelele akaona haka katoto hakafai... akasema haya njoo tukurudishe wakati tunaenda kina kirefu tulifika fasta kunirudisha anaenda taratibu...

angenitoa bikra kwenye maji yule I was such a little girl back then.... sina hamu nao kilichonishangaza marafiki zangu walikua wanafurahia wanaenda nao walee jamaa mbali
 
Back
Top Bottom