Uchafu wa chupa jijini Dar, hakuna watu wa kukusanya uchafu huu?

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
Samahani sana wakubwa,najua wengi kila kichwa cha habari mkisomacho mnajua mpya kutoka kwa JPM au kwa kina UKAWA. Rahasha wandugu!

Lengo wangu nikujaribu kuangalia huu uchafu wa MACHUPA mbali mbali katika jiji letu la Dsm na tz kwa ujumla. Sio CHUPA za maji ya uhai au kilimanjoro namaanisha CHUPA za BIA na MACHUPA mengine mbali mbali yaliozagaa mitaani.

Hivi hakuna mbinu yyte ya kukusanywa kama tunavyokusanya CHUMA CHAKAVU.

Au viwanda vya CHUPA haviwezi kuyeyusha na kuzizalisha CHUPA mpya ...maana zimejaaa sana kitaa na umekuwa uchafu mkubwa sana.

Pia kwa kuwa haziozi zimekuwa hatari sana kwa watt wetu mitaani...

Asanteni sana.
 
Arusha kuna kiwanda cha vyupa chakavu kina recycle na kutengeneza marembo..kinaitwa Shanga shangaa.
 
Back
Top Bottom