- Thread starter
- #21
Sorry nilitoweka kidogo. Nawashukuru kwa michango yenu. lakini kwa kweli lazima kifanyike kitu kuhusiana na suala hili. Madiwani na Wenyeviti kwenye baadhi ya maeneo wamekuwa na vikao lakini bila muafaka ni kutupiana lawama tu kwa pande zote mbili. Jamani Arusha inatisha, jana imebidi nibebe mwenyewe uchafu na kuupeleka dampo baada ya kuona kipindipindu kinatunyemelea eneo letu. Ni miezi miwili sasa gari la uchafu halipiti mtaani. Ngoja nimtafute Lema nione mawazo yake!