Hayo uliyoandika ungewashauri wangekusikia kuliko kuja na conclusion ya kuondolewa. Kuna watu yanawasaidia sana tofauti na unavyodhani
Yanawasaidia wachache ila wengi tunaumiaHayo uliyoandika ungewashauri wangekusikia kuliko kuja na conclusion ya kuondolewa. Kuna watu yanawasaidia sana tofauti na unavyodhani
Habari za jpili wandugu
Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee
b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali
c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika
d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo
e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa
Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk
Kivipi hebu funguka tukusome
Nafikiri hili ni jibu muruwa. Man you nailed it..!Wabongo bwana, hayo mabasi ni kosa kusema ya mwendo Kasi. Yanaitwa mabasi yaendayo haraka. Kwamba speed ya kawaida ila hakuna vikwazo njiani. Kwa kiingeleza wa natumia neno Rapid bus na sio Fast bus
sawa umemfafanulua. Na hizo changamoto mbona umekausha?Wabongo bwana, hayo mabasi ni kosa kusema ya mwendo Kasi. Yanaitwa mabasi yaendayo haraka. Kwamba speed ya kawaida ila hakuna vikwazo njiani. Kwa kiingeleza wa natumia neno Rapid bus na sio Fast bus
kwani mtoa mada kaomba ufafanuzi wa rapid/fast?Nafikiri hili ni jibu muruwa. Man you nailed it..!
Habari za jpili wandugu
Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee
b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali
c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika
d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo
e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa
Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk
Katika quote yangu utaona kipengele cha kwanza ndipo mchango wangu ulipo, kwa hiyo kwingine sijamkatalia hoja yake na si lazima ni commentsawa umemfafanulua. Na hizo changamoto mbona umekausha?
Wee bila shaka ni mmoja wa wale wabeba samaki wanaosumbua asubuhi na makelele yao.Habari za jpili wandugu
Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee
b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali
c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika
d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo
e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa
Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk
poaKatika quote yangu utaona kipengele cha kwanza ndipo mchango wangu ulipo, kwa hiyo kwingine sijamkatalia hoja yake na si lazima ni comment