Uchache wa Magari ya Mwendokasi barabarani kutokana na mengine kuharibika na mvua, wananchi tunateseka

Seaman86

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
370
408
Habari za jpili wandugu

Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee

b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali

c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika

d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo

e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa

Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk

=======================

Leo jumatatu nimeshuhudia uchache wa mabasi, hivyo kufanya kituo terminal kuu Kimara kujaa watu kupitia kiasi na mabasi yanayokuja kujazana watu isivyo kawaida.
Kitu ambacho ni hatari kiafya na uharibifu wa Magari yenyewe, tunajua Gari nyingi zimeharibika majuzi kutokana na mafuriko. Tafuteni njia mbadala kuokoa huku mkitengeneza hizo gari
 
Wanakera sana hao mbwa , ikifika jioni gari zinakuwa chache ... Kwa MTU wa kimara unasubiri gari maeneo ya Manzese ,gari zingine zinapita hazina watu ila hazisimami, mpaka huwa najiuliza kwanini zinaelekea kimara bila watu na watu wanejazana kituoni???? Mbona wanachoma mafuta ya bure???

Waziri husika fanya kitu please kuna majibu mengi kwenye mabasi ya mwendokasi ,au unasubiri mpaka raisi aende kutumbua.
 
Habari za jpili wandugu

Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee

b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali

c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika

d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo

e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa

Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk

Wabongo bwana, hayo mabasi ni kosa kusema ya mwendo Kasi. Yanaitwa mabasi yaendayo haraka. Kwamba speed ya kawaida ila hakuna vikwazo njiani. Kwa kiingeleza wa natumia neno Rapid bus na sio Fast bus
 
Habari za jpili wandugu

Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee

b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali

c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika

d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo

e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa

Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk

Kwani umelazimishwa kuyapanda? Kwa nini usipande dala dala ambazo zina konda ndani yake?
 
sawa umemfafanulua. Na hizo changamoto mbona umekausha?
Katika quote yangu utaona kipengele cha kwanza ndipo mchango wangu ulipo, kwa hiyo kwingine sijamkatalia hoja yake na si lazima ni comment
 
Wala mwendokasi haikeri kabisa, una matatizo yako tu. Kumbuka wanaincourage kutumia kadi. Yaan ukiwa nankadi kila kitu kinaenda mubashara, ila ukianza ujanja ujanja wa kizaramo ndo hapo utakoma. Tena nashauri gharama ipunguzwe kwa wanaokata kupitia kadi mfano mtu akikata kuanzia elfu 10 apewe discount ili watu wengi watumie kadi
 
Habari za jpili wandugu

Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee

b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali

c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika

d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo

e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa

Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk
Wee bila shaka ni mmoja wa wale wabeba samaki wanaosumbua asubuhi na makelele yao.
Alafu ni mabasi yaendayo haraka sio mabasi ya mwendo kasi!
 
Katika quote yangu utaona kipengele cha kwanza ndipo mchango wangu ulipo, kwa hiyo kwingine sijamkatalia hoja yake na si lazima ni comment
poa

Wabongo bwana, hayo mabasi ni kosa kusema ya mwendo Kasi..!!!
 
Back
Top Bottom