Seaman86
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 370
- 408
Habari za jpili wandugu
Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba yanabarabara yake yenyewe lakini wako slow sana mpaka wanakera aisee
b. Ukataji wa tiketi ni wa shida sana yaani ni kero kwa kweli, sijui wanampango gani na hizo tiketi kama ikiwezekana waweke hata makonda tu potelea mbali
c. Haya mabasi ya kutoka kivukoni,gerezani kwenda kimara ni machache sn kama wamekuwa waelewa basi ni afadhali waende na movie ya abiria kwamba kuanzia majira ya asbh na jioni watumie mabasi mengi zaidi kuwatoa watu kwenye vituo halafu mchana wanakuwa wanapumzika
d. Ikiwezekana mabasi yatoke kivukoni kwenda mpaka mbezi sio kuishia kimara wengine tuna mizigo
e. Na kama ikionekana hakuna namna basi waruhusu dala dala zitoke mbezi kariakoo uone kama watapata watu kwanini wanawazuiaaaaaa
Aiseee nina povu jingi nivumilieni tu inakera sana, sio kwamba hatuna magari ila kila siku hatuwezi kwenda nayo job kutokana na parking, mafuta, foleni nk
=======================
Leo jumatatu nimeshuhudia uchache wa mabasi, hivyo kufanya kituo terminal kuu Kimara kujaa watu kupitia kiasi na mabasi yanayokuja kujazana watu isivyo kawaida.
Kitu ambacho ni hatari kiafya na uharibifu wa Magari yenyewe, tunajua Gari nyingi zimeharibika majuzi kutokana na mafuriko. Tafuteni njia mbadala kuokoa huku mkitengeneza hizo gari