Uchache wa Magari ya Mwendokasi barabarani kutokana na mengine kuharibika na mvua, wananchi tunateseka

Mrupo mama yako na watu wote wa kike katika ukoo wenu mpxiuuu!! Huwezi kunijibu bila kunitukana mbona mhusika kanijibu kistaraabu tu.

Muda mwingine mtu unacomment basi tu kuzingua au unadhani kila kitu tunacomment serious kihiivyo! Falasi wewe!!

SIO kukutukana tu,,me watu wenye viburi na ujinga kama wewe huwa nawatia makofi kabisa,,kwaiyo ungekuwa karibu yangu ungechezea makofi aswa
 
SIO kukutukana tu,,me watu wenye viburi na ujinga kama wewe huwa nawatia makofi kabisa,,kwaiyo ungekuwa karibu yangu ungechezea makofi aswa
Labda huko kijijini kwenu hapa mjini unamtia nani makofi, nitolee mbwembwe za kuongea kwenye key board!!
 
Ni siku ya pili mfululizo usafiri wa mwendokaso unakuwa mbovu zaidi ya ubovu tuliozoea maana hawa jamaa hawahi kuwa bora ila ubora/uzuri wao unapimwa kwa viwango ubovu pia.

Sasa leo baada ya jamaa kuzuia magari bila kutoa sababu kwanini wazuie hatimaye dereva na supervisor mmoja wakadondokea mikononi mwa raia wenye hasira, kusema kweli kidogo wajambishwe aisei...! Please watu wanateseka ila itakuwa uzembe wa UDART.
 

Attachments

  • VID_20171109_204506.mp4
    3.7 MB · Views: 29
Wala mwendokasi haikeri kabisa, una matatizo yako tu. Kumbuka wanaincourage kutumia kadi. Yaan ukiwa nankadi kila kitu kinaenda mubashara, ila ukianza ujanja ujanja wa kizaramo ndo hapo utakoma. Tena nashauri gharama ipunguzwe kwa wanaokata kupitia kadi mfano mtu akikata kuanzia elfu 10 apewe discount ili watu wengi watumie kadi
Wana encourage kadi mbona kadi zenyewe hazipatikani? Napendekeza wajuvi wa kutengeneza apps watengeneze ambayo itakuwa ina generate QR code na hiyo app unajaza hela kama kadi zao.
 
Makonda uko wapi!!!??????.Kwanini usiingilie kati na kuruhusu coster za moro na private kusaidia kwa muda wakati mil400 za kukarabati yalo haribiwa na mafuriko zikitafutwa na kutengenezwa!!!!!????. Makonda man of action au unasubiri mwongozo!!???.JPM toa mwongozo wa kimara tunateseka sana!!!!
 
tatizo la miradi ya tanzania huwa si ya kutosheleza wala kukizi ni kama wakujaribu mfano dawasco,tanesco,udart n.k
nimejaribu kuangalia kila idara utakuta kama miradi yote wanafanya vitu kuangalia wao sio kuangalia maitaji ya watu na wingi maitaji,tokea mradi huu kuanza hawa jui njia morogoro road ina wakazi wengi,na maitaji ya usafiri ni makubwa.
 
Hizo gharama za kujena yadi kwenye mkondo wa MAJI jangwani zilitosha kujenga stand mpya ya Kisasa ya mabasi ya mikoani mbezi kisha wao wakabaki Ubungo terminal kama yadi yao ya kulaza Magari,Huu mradi ni muhimu sana inatakiwa serikali iuangalie vizuri gari ni chache hazitoshi.
 
Back
Top Bottom