uc browser ina vitu ina miss compared to opera, ebana we zunguka kote hakuna browser kali kwa simu kama opera
opera min sidhani kama inanifa kwa kutumia kwenye simu, kwani ina bugs nyingi, inaleta error nyingi na inajitoa/inajizima yenyewe na kukutoa ghafla bila kuacha history ya link za pages ulizokua unazi access. Pia hauwezi kufungua tab nyingi bila kupoteza kumbukumbu. Haiwezi kukuwezesha kucopy links kwaajili kupest kwenye kazi unayochapa kwenye type ya tabs nyingine. La mwisho haina skins nyingi ila kwa virsions chache, hivy sio fashionabl . Uc brwsr ureee! Niayo 2.
mimi nimeupgrade lakini ile old bado ipo na pages nilizoseve bado zipo.Du, nime upgrade to uc browser 8.2. It's good, only problem ni kuwa sioni pages nilizo save. Any help out there?
tabs zaid ya 1 geresha 2 hilo,zikishafika mbili tatu bac speed ya browser inaporomoka inabidi ufunge 2 zingine!!kwenye copy n paste hapo true.
Jamani japokuwa tuna wasomi wa IT wakutosha tumeshindwa kutengeneza browser yetu wenyewe? Kenya wameanza, INDIA wapojuu!