UC browser naipenda ila kwa hili...mmh

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Sijui inaweza kuwa ni setting au ndivyo ilivyo yaani unapo click kufungua post inafungukia katika post ya chini kama ukurusa ulikuwa na post 10 basi inaanza kuonekana ile post ya 10 na ili uende sambamba na topic inanibidi nianze kupanda juu mpaka post ya kwanza ndo nishuke nayo mpaka post ya mwisho,sasa kimbembe ukutane na post ambazo zimeandikwa kipimo cha kujaza ukurasa wa gazeti la mzalendo hapo ndiyo utapanda weeeee! Tena ukute member wame reply kwa ku quote yaani unaweza kuishia njiani.natambua hapa mpo watemi wa hizi ishu nipeni ma ujanja ili nifaidi
 
Tabu yote ya nini, uwe unageuza simu "up side down"
hahahahaaa! Ndiyo uzuri wa jf griti sinka yaani sikujiongeza mapema nimejaribu kuigeuza simu juu chini.thanx imefanya kazi vizuri asante sana.
 
Hujamuelewa. Yaani inapofungua jf forums posts za kwanza kudisplay ni zile za mwisho chini badala ya za juu ili ushuke nazo.
kanielewa sana,unadhanidhani nitakuwa nimeandika kipimo cha kushindwa mtu kunielewa hasa kwa great thinker wa jf?
 
hebu chunguzavizuri! nijuavo mimi kwenye post mpya anbayo hujawahi kuifungua nilazima itaanza mwanzo wa topik.lakini kama post uliwahi kuifungua kabla basi hapo lazima ucbrowser itaaanzia pale ulipoishia hebu iangalie hiyo.
 
Mbona ni kawaida post nyingi hufunguka kwa mtindo huo hata utumie browser gani, jaribu kwenda JF desktop af chek setting, kuna sehemu ya jinsi ya kuzi sort thread (ila sina uhakika ka itafanya kazi na kwenye post)
 
Brother big mgen hilo nimekwisha chunguza .ila ni post zote tu hakuna cha mpya wala ya zamani,ila kuna post ambazo ni chache kuanzia 1-9 hizi zenyewe zinaanzi kusomeka kuanzia post ya kwanza.
 
unatumia version gan? Unatakiwa now uwe na uc 8.5

Then uc default wanaoptimize page cha kufanya nenda seting kaeke full view ili ifunguke jf ya pc then shuka chini hadi mwisho mwisho utaona option ya kuchagua jf desktop au wapsite chagua wapsite then ur done.
 
unatumia version gan? Unatakiwa now uwe na uc 8.5

Then uc default wanaoptimize page cha kufanya nenda seting kaeke full view ili ifunguke jf ya pc then shuka chini hadi mwisho mwisho utaona option ya kuchagua jf desktop au wapsite chagua wapsite then ur done.
chief ninayo 8.3 v ngoja ni apdate kwanza hii 8.5 nitakuja na jibu mkuu.
 
kaka wewe noma......kiukweli wewe ni nomaaaaa, lazima nikupe sifa zako....
 
Back
Top Bottom