UC browser naipenda ila kwa hili...mmh

Tabu yote ya nini, uwe unageuza simu "up side down"
Hilo wazo mkuu sidhani kama litafanya kazi

unatumia version gan? Unatakiwa now uwe na uc 8.5

Then uc default wanaoptimize page cha kufanya nenda seting kaeke full view ili ifunguke jf ya pc then shuka chini hadi mwisho mwisho utaona option ya kuchagua jf desktop au wapsite chagua wapsite then ur done.

UC Browser V8.5 ni kwa Symbian ila kwa android inaishia V8.3
 
Back
Top Bottom