Afadhali huyo aliyeko Bungeni, akimaliza kula ubuyu atachangina Hoja, vipi kuhusu hivyo viti vilivyo wazi, wameenda wapi ?Wakina mama wa CHADEMA wakiuziana ubuyu ndani ya Bunge.
Je hili ni jambo sahihi kwa mbunge kuifanya hii shughuli ndani ya Bunge?
Nini maoni yako??
View attachment 1099980View attachment 1099981