Ubuyu wa CHADEMA bungeni

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
320
Reaction score
515
Wakina mama wa CHADEMA wakiuziana ubuyu ndani ya Bunge.
Je hili ni jambo sahihi kwa mbunge kuifanya hii shughuli ndani ya Bunge?

Nini maoni yako??



 
Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho.
Rais kwani anashamba la korosho? Hajawahi kuuza korosho. Last time a checked Serikali ndio ilikuwa inauza hizo korosho. Ubuyu hoyeeeee!
 
Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wabongo akili mingi sana uwazaje hili
 
Mkuu wanawake wana hulka ya kula hvyo vitu, sasa wewe unakimbilia kusema wanauziana na sio mtu kaomba apewe..

Yaani elfu saba za Lumummba zinawatoa akili kiasi hiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…