Ubuntu or windows 7?

Ubuntu or windows 7?

Kati ya hizo mbili ipi inaweza ku fight na virus
 
Kati ya hizo mbili ipi inaweza ku fight na virus
Ni Ubuntu mkuu, hii inatokana na kutokuwa na ma-virus programmer wengi wenye kiu ya kuandika virus za kushambulia Linux Distros zote Ubuntu included, ni machines i.e computers chache sana Duniani zinazo tumia Ubuntu OS ndio maana hakuna motisha wa kuandika virus vya kuzishambulia, unlike Windows OS ambayo inaongoza Duniani kuwa installed kwenye asilimia 90% ya PCs zote bila ya kujali lugha.
 
Kati ya hizo mbili ipi inaweza ku fight na virus
Virus nyingi zinaruhusiwa na mtumiaji computer mwenyewe, nina miaka natumia Microsoft essentials ni ya bure na sina shida hata kidogo kwenye computer zangu,
 
sample ya doc sina ila ni hivi,

ukichapa kazi lets say mstari mmoja una maneno 15. ukifika kwenye windows mstari mmoja unakua na maneno 14 hivyo neno la 15 linajishusha chini hii inaharibu kazi nzima maana vichwa vya habari vinaenda next page kama kuna mchoro unahama.

hii ni kwamba soft za linux hazipo compatible na original microsoft office ya windows ambapo printer zimekua designed kuprint.

same issue imenitokea nikichapa na symbian au android

Hili tatizo hata mi linantokea sana na natumia Arial font, nikiweka kwa linux font zinapandana...na atena mimi natumia Ultimate Edition 3.4...the latest kabisa Gnome, ile ya 3.5 hawana Gnome kwa hiyo environmental yake siikubali kivile!!
 
Kwa matumizi ya mtandao pekee, Ubuntu inafaa? Je, niweke sambamba na Windows8?
 
Back
Top Bottom