UBUNTU ONE, 5GB FREE online storage | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UBUNTU ONE, 5GB FREE online storage

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by L3 C4p0n3, Aug 1, 2011.

 1. L3 C4p0n3

  L3 C4p0n3 Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubuntu has now increased its online storage for its users from 2GB to 5GB free for your files, if you are using ubuntu is easy in uploading your data on ubuntu one, so sign up and get full SAFETY to your data and back up in online storage @ ubuntu one.

  ITS FREEEEEEEE, mana wabongo mnapenda sana "FOR FREE"
   
 2. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ni mzungu?
   
 3. L3 C4p0n3

  L3 C4p0n3 Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi MZUNGU,
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Natumia Dropbox, cross platform 2G free.

  Windows Live Mesh 5Gb free ila Windows tu.
   
 5. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Nina jumla ya zaidi ya a terabyte worth of storage capacity between my laptop, SD Card, DVDs, external drive, my desktop, flash drive and CDs. Ni storage ninayoi access at my fingertips, sina haja ya kwenda mtandaoni kui download. Nikiwa siko kwenye workstation yangu natembea na 8GB flash drive yenye all the files I may need on the go. Who needs a third party server to store 5 or 2 gigabytes for you?

  Plus, governments yanaweza ku subpoena ma server ya Ubuntu ikitokea kuna m-lawsuit au mjomba wa Al Qaida nae ana store ma data huko Ubuntu, kwa hiyo data zangu at any given moment ni accessible na ma makachero wa serikali, privacy compromised!

  What is more, kuna talk within the industry of internet providers potentially charging internet access per byte of use download/upload because the flat rate model is becoming super costly in the advent of bandwidth hogging Netflix and e-books and You-Tube and Ipads and etc etc, kwa hiyo web-based computing arguably bado sio the way of the future. Na hiyo ni the West, je Bongo ambapo tunapimiwa internet access kama mafuta ya taa dukani kwa Mchagga?

  Hapo hatujaongelea ma hackers na ma Rudolf Murdoch's of the world wanaoweza kuhonga away ma data ya watu.

  Ubuntu servers, thanks but no thanks.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Flash hauwezi kufananisha na hivi vitu kabisa, flash inaweza kupotea, flash inaweza kuacha kufanya kazi, flash hai sync yenyewe inabidi kila mara uichomeke uweke latest version ya files, flash haikuruhusu kushare na mtu file instantly, flash hauwezi kuichomeka kwenye simu yako nina DropBox client kwenye Android navuta file yoyote iliyo kwenye dropbox, hakuna haja ya cable kwa kuhamisha mafile madogo kwa haraka naidumbukiza file kwenye Dropbox inasync to the "cloud" naishusha kwenye simu na vice versa.

  Flash haifanyi versioning, Dropbox kila unaposave file inasave mabadiliko yote, kesho ukiitaka file ilivyokuwa wiki iliyopita no problem.

  Kama unaogopa security encrypt mafaili yako kabla ya kuyasync, tumia TrueCrypt hakuna atakayeweza kuvunja, pia unachagua cha kusync sio kila kitu unadumbukiza tu, chance za kupoteza hiyo flash na mtu kuzisoma file zako ni kubwa kuliko mtu kupata password yako.

  Tatizo kwa bongo linaweza kuwa bandwidth, mambo ya pay as you go hii haitakufaa.
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 15,994
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
  ah offline storage so lazma flash hata cd au memory card its better kwa bongo usijitie kua unafagilia sana online storage, 5gb bila bundle ni kama milion moja kaka kwa kila mb sh 200, bei ya kitanzania so uki upload na mtu akidownload ni million 2 tena kwa internate slow itakayochukua muda wako kibaooo.
   
 8. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  i cudnt say it any better!
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Sio lazima utumie full 2GB mkuu unaweza ukaweka doc zako mbili tatu.
   
 10. L3 C4p0n3

  L3 C4p0n3 Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu, utapima tu which is worth kati ya data zako na bundle money by the way cku hizi internet rates zinapungua like zain wana data wiki plan get 3GB for 15000 for a wiki, tigo unlimited monthly acces for 40000, ciitaji kutaja viwango vyote.
   
 11. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Flash inaweza kupotea? Hata encryption passphrase ya ku acces Ubuntu servers inaweza kupotea! Na flash ikipotea sipotezi data zangu kwa sababu it is not the last storage media I have, hizo zote ni backup tools tu. Ukipoteza hilo li passphrase the truecrypt mwanangu data zako msalie mtume!

  Pia, yote unayoweza kuyafanya btn computer yako na simu na Ubuntu servers na mimi naweza kufanya btn computer yangu na simu na flash drive. Tofauti yetu wewe mpaka uende mtandaoni, mimi 8GB zangu ninazo at my fingertips, sasa cha zaidi kwako kipi?

  Unasema flash haiwezi ku sync, na kila ukiichomeka inabidi uweke latest version ya file, kwani ku sync maana yake nini kama sio kuchukua latest version ya data set moja kui-machisha na data set nyingine? Unapo sync volume X, kwa mfano, with archive Y on Ubungu servers maana yake unachukua latest version ya mafaili ya volume X una machisha kwa kunakili kwenda archive Y kwenye servers, period! Kuhamisha kuko pale pale, ifanya automatically au isifanye automatically!

  Na mimi sitaki automatic syncing, nataka kuwa na total control over what data set gets to where from where, at what time, sitaki ki-flash chote kiwe-synced automatically hata wakati sijakiambia, nataka kuchagua, personal computing, ndio maana jina kamili la komputa ni PC, personal computer!

  Na nikitaka ku sync, hiyo unayoiita non-automatic hainichukui sekunde, natumia one of the most potent data management software ever discovered, the EMC Retrospect Professional. Sihitaji kuchomeka kitu kwenye computer halafu kinaanza kufanya mambo ambayo hakijaambiwa, hakijui mimi nataka kufanya nini.

  Simu na data na computing? Well, nahitaji tremendous amount of microprossesor muscle ninapokuwa kwenye workstation yangu, simu yangu haina wherewithal ya kustahimili computing yangu, situmii simu kuhamisha data, na si-shei vipicha kwenye social network, hivyo simu yangu for the most part is solely for telephoning, not data management and such. Na nikihitaji kuhamisha data btn simu na computer si lazima nitumie cable, kuna bluetooth mazee.

  Na kuhusu ku share "mafaili madogo," kwanza si watu wengi wanatumia hizo Ubuntu servers, kwa hiyo ukitaka ku share na mtu file mpaka uanze oooh, unaijua dropbox, sijui nenda to www dropbo.... bla bla, download XYX, install, halafu nitakutumia mafaili yatafute! Mlolongo wote huo saa ngapi? Ku transfer "mafaili madogo" kama ulivyoyaita, natumia the standard, profession, tried and trusted approach: e-mail. Simple as that.

  Na kama nilivyosema, the economics of the two data management methods favor the offline approach. Kwa Tanzania, bado mtandao bado ni wa kupima na shubiri.


  Kwa nini tuparamie kila technology fad inayoingia mjini hata kama kwa kweli imepitwa na wakati? Nyumbani nina mi hard drive inakaribia giga byte elfu moja, sasa vi giga byte vitano vya Ubuntu mi vya nini?
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Kama backup haifanywi automatically hiyo sio backup mzee! Huko ni kujidanganya! Unayofanya sio syncing ni copy/paste.
  Utapotezaje password? sijakuelewa labda ubongo wako usifanye kazi ghafla, kama una matatizo ya ubongo ni vizuri uiandike password uihifadhi kwenye safety deposit box. Sio kweli ukipoteza access ya ubuntu umepoteza mafaili mafaili bado yapo kwenye PC.

  Point yangu ya kupoteza flash ilikuwa kuhusu mtu mwengine kuweza kupata access ya data yako, ni rahisi zaidi na flash kuliko na Dropbox au ubuntu one.

  Kushare file hauhitaji mtu awe na Dropbox unaweza kushare na mtu yoyote unampa link tu yeye anaenda online, ina web interface hakuna haja ya kuinstall kitu chochote, ni vizuri ukayajaribu mambo haya kabla ya kucomment.

  Tena unaweza kushare folders kwa mfano tukiwa tunafanya project tunatengeneza folder ya projecty tunaishare na kila mtu kwenye team. So nikitengeneza report au presentation naidumbukiza kwenye project folder, kila mtu automatically anapata copy kwenye Dropbox yake, mtu mwengine akifanya changes automatically kila mtu anapata latest version na dropbox inahifadhi previous versions.
  Wewe utakimbia na hiyo flash yako mpaka miguu ichomoke hautaweza kufanya kitu kama hiki, au yataanza yale mambo ya kuforward email mara 10, fwd: fwd :fwd fwd: lol.

  Processing power? simu yangui ina 1GHz processor more than enough kwa kazi karibia zote, na kenye simu hautafanya heavy work kwa mfano ukitaka kufungua doc au pdf wewe mpaka uende kwenye PC? Utachomeka flash yako kwenye simu? Mimi nafungua dropbox navuta file, nalaunch word viewer popote nilipo.

  Jaribu kushare file lenye 50Mb kwenye hiyo email yako utanieleza, au kushare file ambayo provider anaibana kama exe.

  Offline approach inafavor large volumes of data tu na only in terms of bits/$, kwa efficiency, convinience na redundancy offline ni ovyo kabisa. Na hiyo 1Terabyte ngoja siku ibume ndo utalia kabisa, haiprovide redundancy yoyote.

  Hizi cloud storage ni kuhusu convenience na efficiency sio kuhusu raw storage or processing power.
   
 13. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kang, yameshakuwa hayo ya nina matatizo ya ubongo? Ukijiheshimu tunaweza kujadiliana tukabadilishana uelewa, vinginevyo tutachafua hali ya hewa hapa sasa hivi na patapoteza muelekeo, huwa ninakuchukulia kama muungwana fulani, sasa ukiona hoja zako zinapingwa usihamaki na kupoteza hulka hiyo, wewe si mkufunzi wa teknolojia ya habari wa jamvi ambae akipingwa kidogo ana panic.

  Kupoteza passphrase haimanishi mtu ana ubongo mbovu, na unapokariri password risk ya kupoteza huwa ipo. Wewe mwenye ubongo bora unaokumbuka kwa kichwa encryption passphrases zote hebu nikuulize, umesema ukipoteza password ya Ubuntu mafaili yatakuwa bado kwenye computer. Mada yetu hapa ni "ubuntu has now increased its online storage..." Tunaongelea Ubuntu online storage, sio kwenye computer, sasa huo uelewa wako mkubwa sana mbona hapo umeonyesha very faint comprehension of the subject matter?

  Ninasema ukipoteza access password au encryption passphrase ya mafaili yaliyoko kwenye servers za Ubuntu (third party, elewa) data zako zinaweza kuwa ndio imetoka. Haziko kwenye computer yako!

  Hakuna ku instal kitu unapotumia Dropbox? Huo ni uongo period, lazima u download Dropbox hapa, halafu u install software, soma hapa. Kwa hiyo ukitaka kumtumia mtu file lazima kwanza umuulize anaijua Ubuntu One, sijui ka download, ka install, halafu nenda wwww, nani ana muda wa kufundishana wakati official modality of communication ya "mafaili madogo" ni e-mail ? Besides, how many end users have heard of the word Ubuntu, let alone Ubuntu-One?

  Si watumiaji wote 1GHz of microprocessor power inawatosha, laptop yangu ya 2005 ndio ilikuwa ina gigahertz moja ya processor. Kazi zangu haziwezi kufanywa kwenye simu, na kama zikifanywa bandwidth na computing ninayohitaji haitoshelezwi.

  "Backup ambayo haifanywi automatic hiyo sio backup..." ludicrous, I'm sorry, but that's plain baloney. Haya ndio matatizo ya kukariri maneno maneno bila kujua concept, kwani backup maana yake nini? Backup ni nakala ya data, simple as that! Sasa ukiniambia mimi nina copy, kumbe backup maana yake nini? Jamani mbona tunakariri vitu bila kuelewa undani? Mimi ninafanya incremental backup ya data zangu zote routinely, natumia EMC Retrospect Professional, sio lazima back up iwe automatic. Nina nearly a terabyte of data ambayo nina nakala yake - kwa lugha nyingine, backup - kwenye HDD nyingine, hard drive moja ikibuma sipotezi data!

  "cloud storage ni kuhusu convenience na efficiency sio kuhusu raw storage or processing power." Kwa nini u limit the realm of analysis kwenye convience tu? Tunalinganisha hizi approaches mbili, tunajadili pros and cons zake halafu unasema hayo mengine usiyaongelee, we vipi mazee, ndio drawbacks zake hizo nakupa. Nimeonyesha sababu mbali mbali ni kwa nini sihitaji vi gigabyte space viwili vya Ubuntu One.

  Ku "share project folders kwenye team..." Well organizations nyingi zinazofanya team projects zina internal volumes kwenye servers zao ambamo kuna shared access to folders of members or staff etc, team projects zinafanyika within those volumes, organizations nyingi zinataka mambo yake yafanyike within it digital space, sio kusambazwa sambazwa na ku postiwa kwenye ma server ya Ubuntu. Siku nyingine utazikuta Michuzi!

  Kwa hiyo mpaka leo hujui jinsi ya ku transmit .exe file on line? I'm not going there, just google it.

  "Offline approach ina favor large volumes tu..." Kumbe mi pointi yangu toka mwanzo nini? Nasema vi giga byte viwili vya kutunziwa na Ubuntu servers mimi sihitaji, nina archive mia tano ya hiyo, kumbe tunabishana nini kama unakubaliana kwa ukiwa na data set kubwa hivi vi service havina manufaa, kumbe unakubali, mbona unajichanganya au halafu una imply wenzio ndio tuna "matatizo ya ubongo"?
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Mkuu sijasema wewe una matatizo ya ubongo nasema kama unasahau password una matatizo ya ubongo, usinielewe vibaya.

  Hizi service zinasync, yaani hauweki mafaili kwenye Ubuntu kisha unayafuta kwenye PC, so risk ya kupoteza password uunapoteza access ya online storage tu haupotezi actual files. Anyway service za online zina password recovey mechanism "reset password" hii ni non issue.

  Nakuhakikishia hauitaji account ya Dropbox kushare mafaili ya mtu, ndo maana nakuambia ungejaribu kabla ya kukomment kwa mfano link hii http://dl.dropbox.com/u/4270110/Penguins.jpg
  ni file ambalo nimelidondosha kwenye dropbox folder yangu, nimeliright click na kuchagua Public link, now naweza kushare na mtu yoyote na wewe unaweza kuliona nadhani. Hauna haja ya account.

  Kwani wewe kwenye PC unafanya "kazi zako" tu? Hausomi JF? hausomi docs, pdfs, pictures haufanyi kitu chochote kisichohitaji Pentium i7 processor na gigabytes of RAM?

  Najua makampuni yana internal services, lakini sio kila kampuni linayo na sio kila mtu anafanya projects kwenye kampuni tu, nimetumia sana hii kitu kwenye school project zangu. Na hizo internal services siku hizi zinarun juu ya hizi hizi tunazotumia sisi kama box.net.
  Anyway internal service haizimzuii kupost vitu kwenye michuzi nadhani hiyo ni misconception.

  Sio tatizo la kujua jinsi ya kutuma exe/file online, tatizo ni which is the best most convenient and efficient way ya kushare mafaili online. Wote tunajua jinsi ya kutuma traditional mail lakini tunatumia email why? Convenience and efficiency.

  Sikatai point yako ya large storage ila kwa point hiyo tu kuikataa service kabisa ni very short sighted, usiwe one dimensional kwenye analysis yako, there is more to file storage than cost.
  Hakuna aliyesema "Ubuntu one ni kwa ajili ya kutunzia data sets kubwa tu, na hauna haja ya kuwa na HDs" wewe ndo umeona 5GB ukazarau moja kwa moja service nzima. Ni vizuri uwe na upeo mkubwa kwenye mambo ya tech.

  Edit: Nimeshau, backup ya copy/paste ni ya kujidanganya mkuu, fuata ushauri wangu kwenye hilo, kabla hayajakukumba!
   
Loading...