pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Wabunifu kweli, lakini talanta zao wamezielekeza pasipofaa.Watu wabunifu
Hawa ni wale waliozoea za bwerere, bila kumwaga jasho. 8-5 huwa hawazielewi bana, kazi zao huwa zinaanza giza likitanda. Utasikia naenda zangu kupatana na client. Kumbe hata client mwenyewe hana habari kwamba siku hiyo atahudhuria kikao cha kipekee. [emoji1]Huu ubunifu ungetumika kutengeneza mashine za kukatia chips, kumwagilia maji mashambani, kukuna nazi 100 kwa saa moja tungesogea kiuchumi.
😂😂😂Hawa ni wale waliozoea za bwerere, bila kumwaga jasho. 8-5 huwa hawazielewi bana, kazi zao huwa zinaanza giza likitanda. Utasikia naenda zangu kupatana na client. Kumbe hata client mwenyewe hana habari kwamba siku hiyo atahudhuria kikao cha kipekee. [emoji1]
Hii lock bila shaka inafungua milango ya aina nyingi, sio ya pesa, simu, vibeti na laptop tu.
Hii lazima itakuwa inafungua hadi milango ya mbinguni.
Sio kwa sala na vilio vinavofata baada ya watu kugusishwa tu mtambo huu kwenye mgongo na kusikia, .....kok! [emoji23![]()
Alafu utawasimulia watu kwa siku nyingi, ulivyokuwa mjasiri mbele ya kifo na ukajikakamua sana na eti nusura upigwe risasi ya shingo. [emoji38]Ujue ukijiwa serious na vijeba wapo na huu mzigo lazima umbwere aisee akili hadi itulie sio leo
Alafu utawasimulia watu kwa siku nyingi, ulivyokuwa mjasiri mbele ya kifo na ukajikakamua sana na eti nusura upigwe risasi ya shingo. [emoji38]