Ubunifu wa kampeni za UKAWA kupitia CHADEMA

Ubunifu wa kampeni za UKAWA kupitia CHADEMA

nadhani sasa umeamini kwamba KYELA inapata mbunge mpya aitwaye Mh Mwanyamaki , nilitoa angalizo mapema ili msije mkapata visukari vya ghafla .

mkuu hyo haiwezi kutokea. Mwakyembe hana mpinzan pale.
Nillikwambia endapo mwakyembe atashindwa mm ntatembea uchi kutoka dsm mpaka matema
 
Ccm tumethilubutu na tunaweza.. tunayajua matatizo ya Watanzania tulianza kuyatatua na tunaendelea kuyatatua.. Ccm oyeee

Mtahitaji miaka milioni 200 ili kuyajua ndipo mpange kuyatatua, source mgombea mwenza Samia Suluhu
 
Back
Top Bottom