Ubunifu wa binti kwenye chumba cha mtihani

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078


Hapa binti anateleza kwenye mlenda au amepaka sabuni kwenye tiles kisha yeye anapita speed.
Kaanda module nzima alikuwa busy na mabuzi, club, fb siku ya mwisho mambo magumu.
 
sasa katika venue ya mtihani atabaki na chupi au atawezaje kusoma,mi naona anazidi jipa stres zaidi
 
wanajua wenyewe jinsi wanavyo tumia maarifa
 
Lazima uwe na mapaja manene halafu light skinned ili hii trick iweze kuwork out
 
Huu ni ujinga,Watanzania kwa kuendekeza hili,ndo maana atuwezi ushindani ata hapa east Africa,ndo maana kazi zote nzuri zita endelea chukuliwa na wageni.
Shule niliyosoma mimi kutazamia test tu ilikuwa ni kosa ambalo adhabu yake ni kufukuzwa shule.I'm proud for this kwani my brain was not corrupted kama vijana wengi wa Kitanzania.
 
Back
Top Bottom