Ubunifu mwingine wa kushangaza

Ubunifu mwingine wa kushangaza

"Aliekunywa vidonge vya huyu akamnunulie vyengine!, mgonjwa wetu hajapona bado!"

Mlevi mmoja alitamka hayo huku akiyumbayumba kama gari bovu lililopoteza uelekeo!
Nina mada nyingine kaka 5 hivi niendelee au niiishie hapa kwa leo?
 
1744624107864.jpg
 
"Aliekunywa vidonge vya huyu akamnunulie vyengine!, mgonjwa wetu hajapona bado!"

Mlevi mmoja alitamka hayo huku akiyumbayumba kama gari bovu lililopoteza uelekeo!
Dose imeisha.. Ameanza tena kuumwa
 
Back
Top Bottom