Ndugu unahitaji deliverance,inaonekana neno justice kwako ni msamiati mpya kwako.Katika utawala wa Sheria utadhan haki inapatikana kwenye makelele ya mtaani na kutuhumu tuu? Kwa taarifa yako haki zote zinapatikana katika tamko la haki za binadamu,tamko hili liko kwenye katiba yetu,ibara ya 12 had 24.Hata haki za watuhumiwa zipo ibara ya 13.Sasa wewe hizo haki ambayo haziendani na Sheria zinapatikana vipi? Ndugu safari yako ni ndefu,sheria ndo inatoa haki acha na na maneno ya kiimani ya siyo n amashiko.Kumuingilia mwana mke kwa nguvu kunatofautiana,hapa kwetu kama ni mkeo huwezi hukumiwa kwa kubaka,Uingereza unahukumiwa kwa kubaka.Hakuna haki Bila haki hiyo kulindwa na Sheria.Ninachopinga Mimi ni kukaa mnatuhumu watu Bila kupeleka mashtaka kwenye vyombo vinavyotoa haki.Otherwise ni innuendo,slander,nk.Huo ni upuuzi tu,kama unataka haki nenda mahakamani.