Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,240
- 3,931
Akili zako ndogo, eti waziri kujenga jengo lake mwenyewe huo ni ufisadi, unaendelea mbele eti mabilioni ameyatoa wapi. Maswàli mepesi kabisa hayo, tena hayana hata mashiko. Watanzania tumelala sana, tena waongo kupita kiasi. Ndio maana hatunà mwisho mzuri katika maisha yetu. Simu imeisha chaji nitarudi baadae.Ni ajabu waziri kujenga jengo lake kwenye road reserve.. Huo ni ufisadi tosha
Pia hayo mabilioni ameyatoa wapi