Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,091
DAR: Serikali yatoa siku 3 kwa wafanyabiashara ndogondogo wa eneo la Ubungo wawe wameondoka eneo hilo ili kupisha ujenzi wa barabara za juu.
Mradi huo wa barabara za juu(flyover) unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya serikali kukamilisha taratibu za utoaji tenda kwa kandarasi ya Ujenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mradi huo wa barabara za juu(flyover) unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya serikali kukamilisha taratibu za utoaji tenda kwa kandarasi ya Ujenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app