Ubunge wa Mgimwa Kutenguliwa na Mahakama

Jana nilisema na nikabainisha kuhusu biashara zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Kwa sasa kitakachotengenezwa tena ni deal kwa mawakili ndani ya chama ili na wao wapate ulaji kiutaratibu kama ilivyo kwa viongozi wakuu na mmiliki wa chama. Keki ya CHADEMA kutoka hazina inawafikia wajanja pekee ndani ya chama.

Jana nilisema hivi,

Ndani ya thread hii,

Mkuu unatisha
 
Mkuu unatisha
Ndugu, ukweli haujawahi kutisha ndani ya jamii inayotenda kweli.

Ukweli unatisha katika jamii ambayo matendo yake yanachagizwa na ulaghai.

Ninachokisema ndiyo ukweli ndani ya CHADEMA.
 
CCM kwa kurejea makosa yaleyale ni kiboko. Ni kweli wanaweza kuwa wamepata kura nyingi kwa sababu za wazi na zinazofahamika ( ikiwemo uelewa mdogo) lakini kuvunja sheria nako ni kosa.
Mwigulu inamaana hakujua kuwa kauli hizo ni makosa? Alijua ila kwa vile wamezoea kurudia makosa yaleyale basi kwake hakuona shida. Ndio maana hata mikataba mibovu inapigiwa kelele lakini bado inarudiwa tena na tena. Nchi hii haitapata kuendelea hata kidogo kama watu wa aina hii ya CCM wataendelea kuwepo madarakani. Period.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
chalinze nako mmeshabadili daftari la wapiga kura kinyemela na kuweka makada wenu?kuna wasiojua kusoma wa kutosha,mtawapa karatasi zaidi ya moja wapiga kura ili wapige kura, mtaweka kituo sebuleni kwa kiongozi wa CCM?Bado mgombe wenu akachaguliwa na uchaguzi waliopiga kura ni chini ya asilimia 50 ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura. unhaguzi walioshinda na kushangilia walikuwa wachache kuliko waliosikitika kw akilichotokea?

Hizi kauli za waliosikitika bila kupiga au kuhamasisha wapiga kura zinaudhi sana mkuu
Namna pekee ya kuiondoa CCM ni kutoipigia kura, kutacuta kura na kuhakikisha haibiwi mtu
CCM ni kama mbwa
 
Nikiuangalia ubunge wa Mgimwa kwa jicho la kisheria, naona kama ubunge wake unaning’inia kwa utando wa buibui? Kwa nini? Kuna sababu mbili kuu (na nyingine nisizozijua) ambazo kama zikitiliwa nyama za kisheria, zinaweza kupelekea Mgimwa kunyanganywa ubunge wake:

Mosi, wakati Bw Nchemba akimnadi Mgimwa huko Kalenga alitamka hadaharani kwamba yeye alikuwa akimnadi mgombea huyo akiwa kama Naibu Katibu Mkuu na kama Naibu Waziri wa Fedha. Alisikika akiwaomba wananchi wampe ubunge Mgimwa kwa kuwa kama wakichagua mbunge wa upinzani, hatampa ushirikiano wowote ila kama wakimchagua Mgimwa atahakikisha anatenga fedha kwa ajili ya maendeleo ya jimbo la Kalenga.

Naomba turejee nyuma hadi kule Igunga kwenye ‘daraja la Magufuli’. Magufuli aliwaahidi wanaIgunga kwamba wakimchagua mgombea wa CCM atawajengea daraja. Hii sababu ilitosha kabisa kutengua ubunge wa Dr Kafumu. Hakuna tofauti yoyote kati ya ahadi hii ya Magufuli na ahadi ya Nchemba.

Pili, Tume ya Taifa ya Uchaguzi inadaiwa kuchomekea kimyakimya majina zaidi ya 10,000 ya wanaCCM kwa kisingizio cha kuboresha daftari la wapiga kura huku ikiwa inajulikana wazi kwamba maboresho hayo yamefanywa kinyemela kwa lengo la kuibeba CCM. Hili dai linaweza likawa gumu kuthibitisha lakini likisimamiwa na wakili mashuhuri kama Tundu Lissu, Profesa Safari au Peter Kibatala, linaweza kujengewa hoja za kisheria na hatimaye kupelekea kutenguliwa kwa ubunge wa Mgimwa.

Hizi hoja mbili, ukizitazama kwa jicho la ushabiki wa kisiasa, unaweza ukadhani kwamba sio nzito kihivyo lakini ukizitazama kwa jicho angavu la kisheria, utagundua kwamba ubunge wa Mgimwa unananing’inia kwenye kuti kavu. Nina uhakika ushahidi huu ukiunganishwa na ushahidi mwigine utakaokusanywa kutoka eneo la uchaguzi, unatosha kabisa kupelekea ubunge wa Mgimwa kutenguliwa mahakamani.
:yield:

Na Statement nyingine zilitolewa na Jerry Silaa ambaye alisema msipomchagua Mgimwa basi hamtapata Maendeleo maana Serikali ni ya Nani?Mbunge......

Sioni sababu ya Serikali kusema tuko kwenye vyama vingi ilhali wanavipiga vita.Siwani wanaojiita HAKI za binadamu ni haki zipi kama mtu ananyimwa haki zake za msingi za kupiga kura na kumchagua kiongozi wake?Ni lini hawa wanaojiita haki za binadamu watatusaidia au wako kwa ajili ya kula pesa za DONORS tu?Na kupeleka makabrasha na reports za uongo?
 
Mbona hamsemi ya Slaa,lema,mchungaji,chopa,hizo ni kelele za chura tu hamkosi visingizio,tatizo mnajifanya wajuaji kumbe mmm...,bado chalinze ndo hadi mtakimbiana maana itakuwa zaidi ya kalenga.
 
Nikiuangalia ubunge wa Mgimwa kwa jicho la kisheria, naona kama ubunge wake unaning’inia kwa utando wa buibui? Kwa nini? Kuna sababu mbili kuu (na nyingine nisizozijua) ambazo kama zikitiliwa nyama za kisheria, zinaweza kupelekea Mgimwa kunyanganywa ubunge wake:

Mosi, wakati Bw Nchemba akimnadi Mgimwa huko Kalenga alitamka hadaharani kwamba yeye alikuwa akimnadi mgombea huyo akiwa kama Naibu Katibu Mkuu na kama Naibu Waziri wa Fedha. Alisikika akiwaomba wananchi wampe ubunge Mgimwa kwa kuwa kama wakichagua mbunge wa upinzani, hatampa ushirikiano wowote ila kama wakimchagua Mgimwa atahakikisha anatenga fedha kwa ajili ya maendeleo ya jimbo la Kalenga.

Naomba turejee nyuma hadi kule Igunga kwenye ‘daraja la Magufuli’. Magufuli aliwaahidi wanaIgunga kwamba wakimchagua mgombea wa CCM atawajengea daraja. Hii sababu ilitosha kabisa kutengua ubunge wa Dr Kafumu. Hakuna tofauti yoyote kati ya ahadi hii ya Magufuli na ahadi ya Nchemba.

Pili, Tume ya Taifa ya Uchaguzi inadaiwa kuchomekea kimyakimya majina zaidi ya 10,000 ya wanaCCM kwa kisingizio cha kuboresha daftari la wapiga kura huku ikiwa inajulikana wazi kwamba maboresho hayo yamefanywa kinyemela kwa lengo la kuibeba CCM. Hili dai linaweza likawa gumu kuthibitisha lakini likisimamiwa na wakili mashuhuri kama Tundu Lissu, Profesa Safari au Peter Kibatala, linaweza kujengewa hoja za kisheria na hatimaye kupelekea kutenguliwa kwa ubunge wa Mgimwa.

Hizi hoja mbili, ukizitazama kwa jicho la ushabiki wa kisiasa, unaweza ukadhani kwamba sio nzito kihivyo lakini ukizitazama kwa jicho angavu la kisheria, utagundua kwamba ubunge wa Mgimwa unananing’inia kwenye kuti kavu. Nina uhakika ushahidi huu ukiunganishwa na ushahidi mwigine utakaokusanywa kutoka eneo la uchaguzi, unatosha kabisa kupelekea ubunge wa Mgimwa kutenguliwa mahakamani.
:yield:

Acha ujinga kubalini matokeo mbona nyie wagumu sana kukubali
 
maneno ya mkosaji. hakuna dhambi kubwa kijamii kama dhambi ya ubaguzi

NgoA kwanza huko igunga baadaye kulitokea nn baadaya ya ubunge kutenguliwa?
 
Viongozi wenu wamesema hawatokata rufaa,nyie bavicha mnarukaruka tu kama kuku mwenye mdondo
 
Back
Top Bottom