Bunge live kupigwa pini kulipelekea wabunge wanaokinzana kurecord vitu negative zaidi na kuvipost mitandaoni ili kuharibiana.
Hoja za maana zote zikawa zinaishia humohumo bungeni.
Kwa miaka yote mitano tulikuwa tunalishwa negativity tu from bunge mwishowe bunge linaonekana kuwa mahala pa 'yeyote'.