Uchaguzi 2020 Ubunge wa CCM wageuka kituko, Komandoo Mashimo naye atangaza nia Jimbo la Kibamba

hii ndio tabu ya miposho na marupurupu kibao ndio maana kila mtu sasa anautamani ubunge.
Spika badilisha sheria zinazo hush posho na marupurupu ya ubunge ili wananchi wapate wabunge wenye nia ya kweli ya kuwatumikia wananchi sio wabunge wanao kimbilia manufaa ya kifedha bungeni.ona sasa shida hii
 
Bunge live kupigwa pini kulipelekea wabunge wanaokinzana kurecord vitu negative zaidi na kuvipost mitandaoni ili kuharibiana.
Hoja za maana zote zikawa zinaishia humohumo bungeni.

Kwa miaka yote mitano tulikuwa tunalishwa negativity tu from bunge mwishowe bunge linaonekana kuwa mahala pa 'yeyote'.
 
Huyu si ndio alisema ana tiba ya korona apewe ndege impeleke china akawatibu??
 
Back
Top Bottom