Ubunge Simanjiro waibua balaa CCM, Millya maji ya shingo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,676
Reaction score
272,519
20200304_194116.jpg

Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu .

Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya .

Ameandaliwa raia anayeitwa Peter Ole Toima kugombea ubunge huo kwa mwaka 2020 , raia huyo anaandaliwa hadi mikutano ya hadhara vijijini .Taarifa zinaonyesha kwamba Peter Toima aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro .

Sisi yetu ni macho na masikio
 
Natamani iwe hivyo kwa malaaya wa kisiasa wote. Except waliohama kwa hoja halisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo hapa kama majina ya wagombea kamati ndio itapendekeza hakuna wahamiaji watakaorudi kama ni mwenye chama chake nakuambie hakuna asilia hata mmoja atakaepenya bali wahamiaji ndio watapewa vipaumbele ili kufanikisha mchakato wa kuongeza mihula.Wahamiaji wote ni ccm tumbo watakapohakikishiwa shibe awatopinga chochote hawa hawana uchungu wala hawakijui chama tofauti asilia wao chama kwao kwanza
 
Toima ni Mkuu wa Wilaya aliyepitia Wilaya nyingi zikwemo Nyamagana, Ukerewe na hata huko Kigoma.
 
Wasaliti hawana nafasi..
Nafikiri msemo wa kiswahili kuwa Nyani haoni kundule mmeusahau. Mlimsaliti Dk Slaa, mkakiuza chama eti kisa mpate popularity. Leo hii laana ya Dr inawatafuna na maporomoko yaliyowakuta ni aibu kwa chama chenu.
 
View attachment 1377040

Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu .

Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya .

Ameandaliwa raia anayeitwa Peter Ole Toima kugombea ubunge huo kwa mwaka 2020 , raia huyo anaandaliwa hadi mikutano ya hadhara vijijini .Taarifa zinaonyesha kwamba Peter Toima aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro .

Sisi yetu ni macho na masikio
CCM ina hazina ya viongozi. Peter Toima ameishaitumikia CCM na Serikali kwa muda mrefu. Akirudi ni sawa. Asipoteuliwa ni sawa.
 
View attachment 1377040

Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu .

Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya .

Ameandaliwa raia anayeitwa Peter Ole Toima kugombea ubunge huo kwa mwaka 2020 , raia huyo anaandaliwa hadi mikutano ya hadhara vijijini .Taarifa zinaonyesha kwamba Peter Toima aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro .

Sisi yetu ni macho na masikio
Wasaliti wote walioondoka chadema kwa "VIPANDE 30 VYA FEDHA" imekula kwao 2020.
 
Toima anaandamwa na makesi ya kumtishia mkewe na ailaha amenyang'anywa anahudhuria polisi kila uchao
View attachment 1377040

Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu .

Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya .

Ameandaliwa raia anayeitwa Peter Ole Toima kugombea ubunge huo kwa mwaka 2020 , raia huyo anaandaliwa hadi mikutano ya hadhara vijijini .Taarifa zinaonyesha kwamba Peter Toima aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro .

Sisi yetu ni macho na masikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri msemo wa kiswahili kuwa Nyani haoni kundule mmeusahau. Mlimsaliti Dk Slaa, mkakiuza chama eti kisa mpate popularity. Leo hii laana ya Dr inawatafuna na maporomoko yaliyowakuta ni aibu kwa chama chenu.
wakati wewe unatoka mapovu huku JF , Slaa , Lowassa na Sumaye wako chama kimoja
 
Back
Top Bottom