''Iramba Nkuru kuliko Tanzania'', matatizo yetu kule ni mtaji tosha, haitaji sijui mtaji wa kura 20,000. Mtatizo kila kona....watu wamejituma kulima alizeti bila masoko..masoko yao ni barabarani.Barabara mbovu hakuna mfano, magulio yamekuwa hayana tija kwa maskini, mazao hayana bei na watoto wana shindwa kwenda shule.Maji ndo tatizo kubwa zaidi, siyo ya binadamu wala mifugo......Shida ya Iramba ni elimu ya uraia.Dada'angu aliwahi kuniambia kuwa Mbowe 2005 alitoa ahadi nyingi pale shelui na watu walijaa lakini mpaka sasa hajatimiza hata ahadi moja
Hili tusiandikie mate tuombe uhai tu. Mimi similiki jimbo na kura nilizopewa ilikuwa 2010 - 2015. Wanyiramba wakiona kuna haja ya kuniongezea mkataba watanipa mkataba huo wakiona wanamwingine watampa. Kwa sasa nafanya niliyoahidi binafsi kadri ya uwezo, nafuatilia ahadi za serikali na pia kuwakilisha. Habari ya mteremko au ugumu wenye mamlaka ni wenye kura nao hawajabinafisishwa. Natamani kwa sasa mjadala ungekuwa mpango upi unamanufaa na wapi pamepungua nini na nini kiboreshwe haraka kwa manufaa ya Iramba. Lengo na liwe maendeleo sio kugawana vyeo lazima unapofanya sub uwanjan ujue anacheza amepwaya nini na sio kwa anayeingia akatoke jasho. Bibilia inasema wapumbavu ndio wasemao kesho nitafanya hili ama lile.....nani anamkataba na mungu kwamba atakuwa hai. Hivi ukibaki na nia yako kwa sasa ukanipa mawazo nisaidie jimbo ukajitokeza hata 2014 hautakuwa umesaodia zaidi wanairamba kupata faida. Nukwenda ugenda ukuleta imilamu. Anayedhani jimbo liko wazi na ajiandae wanairamba watasema nani yuko sahihi.
Sasa nyie juzi juzi tu hapo mlikuwa mkiliponda lile jama bishi lenye chale uso mzima( nyepesi kabwela) eti uongozi hautafutwi sasa mbona na nyie wezi wa fedha za sabodo leo hii mnaanza kutangaza nia za ubunge!
Enewei mi nitagombea nyamagana kwa Wenje kwani kijana kashindwa kazi kabisa na juzi katuchangisha fedha nyingi akidai za madawati kumbe ni aliagizwa na Mbowe achangishe kwa ajili ya kukarabati club-bilcanus pamoja na kumlipa yahya wa junior vile vile hiyo pesa itatumika kununua gunia za bangi ambazo huwa anavuta lema kwa ajili ya M4C.
Mpaka kieleweke peoples...................
network coverage.sio nzuri.nipo mkuu sijakimbia.
Sina hata chembe ya mashaka. Yule aliyesema nilikuwa nagawa pesa makanisani hilo sio kweli na lilikanushwa muda huo na vyombo husika. Mimi nilikwenfa kusali tu. Kuhusu usalama wa jimbo take it from me HATA KAMA CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA MAGHARIBI
Sasa nyie juzi juzi tu hapo mlikuwa mkiliponda lile jama bishi lenye chale uso mzima( nyepesi kabwela) eti uongozi hautafutwi sasa mbona na nyie wezi wa fedha za sabodo leo hii mnaanza kutangaza nia za ubunge!
Enewei mi nitagombea nyamagana kwa Wenje kwani kijana kashindwa kazi kabisa na juzi katuchangisha fedha nyingi akidai za madawati kumbe ni aliagizwa na Mbowe achangishe kwa ajili ya kukarabati club-bilcanus pamoja na kumlipa yahya wa junior vile vile hiyo pesa itatumika kununua gunia za bangi ambazo huwa anavuta lema kwa ajili ya M4C.
Mpaka kieleweke peoples...................
Mmemsikia huyu mzinzi kuwaita wenzie mbwa, 2010 hakukuwa hata na upinzani mzito lakini ulitawanya rushwa kama unaharisha, makanisani ndo usiseme. Uliomtoa Iramba sio kipimo cha kweli kwani alikuwa boya kama wewe tu.mtaji wako sio kusimamia haki kama kina Tundu Lisu bali ni elimu ya uraia wanayokosa ndugu zangu...lakini hakika round hii ukipenya tutakuacha milele kama MgabeHata wenye mbwa nilishawatoa ulimi nje atasumbua mbwa. Siasa za jimbo nitakuja kufanya kampen siku tatu tu hata aje slaa tugombee wote iramba. Hivi vya humu ambavyo hata ID vinashindwa kutoa hata kivuli changu skafu yangu itashinda nikiiweka ipigiwe kura. Ni kama vile 2010 hakukuwa na mgombea wa chadema hamjamuuliza?
Mmemsikia huyu mzinzi kuwaita wenzie mbwa, 2010 hakukuwa hata na upinzani mzito lakini ulitawanya rushwa kama unaharisha, makanisani ndo usiseme. Uliomtoa Iramba sio kipimo cha kweli kwani alikuwa boya kama wewe tu.mtaji wako sio kusimamia haki kama kina Tundu Lisu bali ni elimu ya uraia wanayokosa ndugu zangu...lakini hakika round hii ukipenya tutakuacha milele kama Mgabe
Sasa nyie juzi juzi tu hapo mlikuwa mkiliponda lile jama bishi lenye chale uso mzima( nyepesi kabwela) eti uongozi hautafutwi sasa mbona na nyie wezi wa fedha za sabodo leo hii mnaanza kutangaza nia za ubunge!
Enewei mi nitagombea nyamagana kwa Wenje kwani kijana kashindwa kazi kabisa na juzi katuchangisha fedha nyingi akidai za madawati kumbe ni aliagizwa na Mbowe achangishe kwa ajili ya kukarabati club-bilcanus pamoja na kumlipa yahya wa junior vile vile hiyo pesa itatumika kununua gunia za bangi ambazo huwa anavuta lema kwa ajili ya M4C.
Mpaka kieleweke peoples...................
Mkuu wewe yaelekea kuna nati zimekatika kichwani kwako. Jaribu kumwona daktari haraka, kwa namna hii hata magamba hawatakutaka. kumbe Lusinde mko wengi.!
Hata wenye mbwa nilishawatoa ulimi nje atasumbua mbwa. Siasa za jimbo nitakuja kufanya kampen siku tatu tu hata aje slaa tugombee wote iramba. Hivi vya humu ambavyo hata ID vinashindwa kutoa hata kivuli changu skafu yangu itashinda nikiiweka ipigiwe kura. Ni kama vile 2010 hakukuwa na mgombea wa chadema hamjamuuliza?
Shardcole sasa nimejua rangi yako. Angalia usije ukajiBingo wa Muthalika.