Ubunge Arumeru Mashariki utakuwa mgumu sana

Ubunge Arumeru Mashariki utakuwa mgumu sana

NAONA DOGO KESHAANZA MAKEKE YA KUINGIA MJENGONI.......

facebook

Josh Nassari
Naamka asubuhi saa moja majira ya huku (takribani saa nane za mchana Tanzania). Kama ilivyo ada kila nikiwa nje ya TZ nikiamka cha kwanza huwa ni kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ya nyumbani ili kujua kinachojiri. Sikuamini nilichokiona kwenye ukurasa wa facebook na kwenye mtandao maarufu wa Jamii forums, eti ya kuwa Mh. Jeremiah Solomon Sumari, Mbunge wangu wa arumeru Mashariki amefariki dunia. Ilinilazimu kumpigia rafiki yangu wa karibu Mh. Godbless Lema (mb) ili anithibitishie habari hizi kwa kuwa na yeye ni mbunge na nafahamu yupo Darkwa ajili ya vikao vya kamati za bunge. Ndipo alipoithibitishia kuwa Spika wa Bunge amewatangazia wabunge kuondeka kwa mwenzao. Kwa kweli ni majonzi makubwa, pamoja na kwamba tulitofautiana kiitikadi lakini still tulikuwa marafiki na mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa nilimpa hongera though sikusign matokeo. Mara ya mwisho tulikutana Dodoma hotel, akiwa amepumzika akijisomea kitabu. Kwakweli afya yake haikuwa nzuri sana na aliniambia "Nassari afya yangu ikitengemaa nitakupigia simu, kuna mambo ya kuzungumza" hayo ndio maneno ya mwisho niliyoyasikia kutoka kwake. Hon. Sumari, umefanya mengi kiasi cha uwezo wako kwa wana-Meru na Taifa hili na kwa ujumla wake. Yale ambayo hukuweza kwa sababu moja ama nyingine, atakayekupokea kijiti ataendeleza mbio. Nimelazimika kubadilisha tiketi yangu, nilipaswa kurudi nyumbani TZ wiki mbili zijazo lakini imenipasa kurudi sasa kukusindikiza. Hii ni kwa kuuthamini mchango wako mkubwa kwa Jimbo langu la Armeru Mashariki na Taifa langu la Tanzania. Natoa pole nyingi kwa Wanafamilia, na Wananchi wote wa Meru. Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu. Upumzike kwa Amani Mh. Sumari.
Joshua S. Nassari.Like · · Share · 7 minutes ago ·
 
Muwe mnamuogopa Mungu jamani lol!! Hata kama kufa kufaana ili uweze kuifanyia kazi kauli hii sharti uwe ni shetani kidogo....tujipe muda,tushiriki msiba kama ambavyo CCM walishiriki msiba wa mum Regia and then baada ya hapa tuanze mapambano,nadhani tukiwa na utaratibu huu hata MUNGU atakuwa upande wetu...nawasihi vyama vyote na hata CCM wenyewe maana najua kuna watu wameanza kufikiria kuchukua form za kugombea ndani ya chama kuwa tuwe na ubinadamu kwanza,maana kushangilia kifo cha mwenzako kwasababu unakitaka kiti cha ubunge kwa kweli na wewe utakufa kabla ya kumaliza muda wako.

Ubinadamu kwanza,vyama baadae!!

ccm wamewafanya watu waupoteze utu, comments za watu zinaonyesha jinsi walivyokata tamaa na maisha ukanamizaji wa Magamba.
 
Huwa namwomba Mungu awamalize wabunge wote waliochakachua kura!
 
Mh! hebu ona aibu, marehemu hata hajaagwa unaanzokodolea jimbo lake?
 
Hapa hakuna kusubiri,kufa kufaana!early preparation is better!
Hapo umeongea mkuu,
Tusionyeshe unafiki kwamba tumesikitika sana wakati hii kitu tulishaijua zamani, kuna wadau walitaja hapa majimbo yatakayokua wazi mwaka huu, na hili pia likatajwa, mbona hamkupinga???
Wacha yule Kijana wetu kule apige jaramba nje, kwani soon tume ya uchaguzi watafanya substitute tuchukue kiti,
KUFA KUFAANA
 
Tuweni na ubinadamu kidogo jamani kha!! Shetani gani huyo? Kweli wenzako wanalia kwa kufariki kwa mpendwa wao wewe unakuja na threads za kutaka jimbo? Mods naomba kwa heshima ya JF hii thread ifutwe.

Skia ndugu,
Hata hii thread ikifutwa haitabadilisha maoni na mtazamo wa watu.
Wana-Arumeru Mashariki wamekosa haki Yao ya msingi ya kuwakilishwa. Ingekua tuna sheria zinazoeleweka, uchaguzi ungefanyika siku nyingi sana regardless huyu jamaa ni mzima, ama lah.
So msiba na uchaguzi haviendani hapa, yaani uchaguzi tutauzungumzia tu, kwanza tumechelewa sana kuuzungumzia huu uchaguzi.
 
Jamani,jamani,jamani!,,,,,Hebu tuzike kwanza halafu mikakati itafuata baadae waungwana.Tukumbuke mtoa roho bado hajamalizia kazi yake!Ohoooooooo!
 
kuna thred nyingine hapa inasema chadema wanataka madaraka ili waile nchi?naona majibu yanapatikana hapa ngoja ni copy na ku paste.yaani watu tunalia msiba we unawaza uchaguzi?ndo mana mlitaka kuuana ifakara
 
Ndugu wana jf

Joshua Nasary ndie aliyepeperusha bendera ya chama chetu mwa 2010 kwa nafasi ya ubunge ktk jimbo hilo na mwishoni hakufanikiwa kushinda.
Marehemu Jeremia sumari alikuwa mgonjwa kipindi chote cha kampeni na hakuhutubia mkutano hata mmoja bali wana-ccm wenzake ndio waliompigia kampeni na kuibuka mshindi.

Mimi binafsi nina mashaka na uwezo wa huyo kijana wetu juu ya kuweza kulichukua jimbo hili wakati wa uchaguzi mdogo, Km ktk kipindi cha kampeni alikuwa peke yake ila ameshndwa, je atawezaje kushinda ktk kipindi ambacho ccm nao watakuwa na mgombea ambae atajipigia kampeni?

Chadema km chama kinatakiwa kusimamisha mgombea ambae tuna asilimia nyingi za kushinda na sio kuridhishana eti kwa kuwa yy aligombea 2010 basi na sasa awe huyo huyo.
 
Km unachokisema ni kweli marehemu hakupiga kampeni basi kuna haja ya chama kikalitizama swala hili kwa macho mawili.
 
Nyakati zimepita na mambo mengi yamejitokeza.Wananchi wamepigika na watakuwa wamejifunza kwa kutofanya chaguo sahihi. Hauwezi kumhukumu kijana huyo bila data. Tueleza alipata kura ngapi dhidi ya mpinzani wake?
 
njoo na evidence za kutosha sema alipata kura ngapi na kwa nini? je umefanya walau utafiti kidogo kutoka huko kwetu arumeru wakwambie kwa nini hakushinda? usimhukumu mtu kabla ya ushahidi na kumpa nafasi ya kujitetea
 
Nyakati zimepita na mambo mengi yamejitokeza.Wananchi wamepigika na watakuwa wamejifunza kwa kutofanya chaguo sahihi. Hauwezi kumhukumu kijana huyo bila data. Tueleza alipata kura ngapi dhidi ya mpinzani wake?
[TABLE="class: cms_table_arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA MERU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] SUMARI JEREMIAH SOLOMON [/TD]
[TD="width: 20%"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%"]34,661[/TD]
[TD="width: 15%"] 62.23[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOSHUA SAMWEL NASARI [/TD]
[TD="width: 20%"]
CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%"]19,123[/TD]
[TD="width: 15%"] 34.33[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOHN YESAYA PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]
CUF
[/TD]
[TD="width: 20%"]265[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.48[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] LINDA PENIELI BANA [/TD]
[TD="width: 20%"]
JAHAZI ASILIA
[/TD]
[TD="width: 20%"]176[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] FANUEL GABRIEL PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]
TLP
[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] CHARLES MOSES MSUYA [/TD]
[TD="width: 20%"]
UPDP
[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]1,297[/TD]
[TD="width: 15%"] 2.33 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"] 55,698[/TD]
[TD="width: 15%"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Jamani tukamzike huyu ndg yetu kwanza.
 
NAONA DOGO KESHAANZA MAKEKE YA KUINGIA MJENGONI.......

facebook

Josh Nassari
Naamka asubuhi saa moja majira ya huku (takribani saa nane za mchana Tanzania). Kama ilivyo ada kila nikiwa nje ya TZ nikiamka cha kwanza huwa ni kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ya nyumbani ili kujua kinachojiri. Sikuamini nilichokiona kwenye ukurasa wa facebook na kwenye mtandao maarufu wa Jamii forums, eti ya kuwa Mh. Jeremiah Solomon Sumari, Mbunge wangu wa arumeru Mashariki amefariki dunia. Ilinilazimu kumpigia rafiki yangu wa karibu Mh. Godbless Lema (mb) ili anithibitishie habari hizi kwa kuwa na yeye ni mbunge na nafahamu yupo Darkwa ajili ya vikao vya kamati za bunge. Ndipo alipoithibitishia kuwa Spika wa Bunge amewatangazia wabunge kuondeka kwa mwenzao. Kwa kweli ni majonzi makubwa, pamoja na kwamba tulitofautiana kiitikadi lakini still tulikuwa marafiki na mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa nilimpa hongera though sikusign matokeo. Mara ya mwisho tulikutana Dodoma hotel, akiwa amepumzika akijisomea kitabu. Kwakweli afya yake haikuwa nzuri sana na aliniambia "Nassari afya yangu ikitengemaa nitakupigia simu, kuna mambo ya kuzungumza" hayo ndio maneno ya mwisho niliyoyasikia kutoka kwake. Hon. Sumari, umefanya mengi kiasi cha uwezo wako kwa wana-Meru na Taifa hili na kwa ujumla wake. Yale ambayo hukuweza kwa sababu moja ama nyingine, atakayekupokea kijiti ataendeleza mbio. Nimelazimika kubadilisha tiketi yangu, nilipaswa kurudi nyumbani TZ wiki mbili zijazo lakini imenipasa kurudi sasa kukusindikiza. Hii ni kwa kuuthamini mchango wako mkubwa kwa Jimbo langu la Armeru Mashariki na Taifa langu la Tanzania. Natoa pole nyingi kwa Wanafamilia, na Wananchi wote wa Meru. Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu. Upumzike kwa Amani Mh. Sumari.
Joshua S. Nassari.Like · · Share · 7 minutes ago ·
Alikuwa akuombe msamaha?
 
Back
Top Bottom