IQ zetu ni ndogo sana kwahiyo hakuna chuo kitakuwa bora TZ....tunabaki kujisifu tu lakini hakuna tulichofanya kama graduates wa UDSM...wachina hata hawajagraduate lakini ni wanatengeneza vitu kibao....mtoa mada upo sahihi sana 100%...hao maprof na madokta ukikaa nao ndio utashangaa zaidi wanamawazo hakijinga sana ambayo hayajengi