Ubora wa UDSM upo wapi?

Mtanganyika wa kweli uandishi ni kipimo cha IQ yako. Nadhani kwa humu JF ni forum mbili tu (I stand to be corrected) ndizo unaweza kutumia aina hiyo ya uwasilishaji uliyoitumia hapa. Tujenge utamaduni wa kukubali kukosolewa na kujua tulipokosea.
 
Hii inaonyesha ni tabia ya watu wa kile chuo, ukiangalia vizuri hata maguu hapendi kukosolewa.
 
Safi sana Upendo wa Pesa. Sijui nisemaje juu watu hawa. Wanaharibu Kiswahili? Wanaharibu kanuni za uandishi? Wamesoma wapi hawa? Shuleni walikwenda kweli hawa? Rai yangu kwao: Badilikeni.
Anasema ni aina ya uandishi sasa nikamuuliza huko chuoni walifundishwa huo uandishi? Akabaki anatua matusi, hii imenifanya nianze kuamini alichoandika mleta mada maana matusi ni lugha ya mpumbavu na sio msomi!
 
Wewe mwenyewe jitathmini kwanza kama ni bora.. maana hata ueleweki... Kwanza ni tukio gani hilo unalolizungumzia inabidi uligusie.. Je ubora wa chuo unaangaliwa kwa zao moja tu? Hujui kuna individual differences hata mkiwa subjected kwenye the same learning environment....
 
The standard of qualification is what raises questions...!
The standards are the same everywhere. Unless you talk about something else. There is a way that Phd are being offered worldwide.
 
The standards are the same everywhere. Unless you talk about something else. There is a way that Phd are being offered worldwide.
Same standards worldwide but different products ..? I think there's a problem....!
 
Same standards worldwide but different products ..? I think there's a problem....!
Kwahiyo tatizo sio chuo...ni individual. Kitu ambacho chuo hakihusiki. Kama amesema na kuweza kupata chochote, si kazi yao kutoa hukumu inakuwaje huyo jamaa analewa toka asubuhi au analala toka asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…