Hilo ndio jibu sahihiInfinix ni brand nyingine ya Techno, yaani hao wote ni ndugu.
Kwnye lile jukwaa la Wauza smart phone kuna jamaa yupo pale China plaz samsung A10 ni 280000/= ukienda kibongobongo hata 260K unachukua.
chukua infinix hotS kilo nne hutojutia,ndo natumia huwa una update kila mwez kuendana na zinazotolewInfinix ni tecno
Ila advantage ni kuwa unaonekana tofauti maana tecno imekuwa sare sare sana, kila mtu tecno.
Unapata processor ya uhakika ya exynos 784 achana na mtkIna kipi cha ziada kuizidi infinix?
Jina.Ina kipi cha ziada kuizidi infinix?
Ina kipi cha ziada kuizidi infinix?