Ubora wa simu za Huawei (P6 & P7) kuringanisha na Samsung Note 2, Note 3 na S4

DEFEKA

New Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
4
Reaction score
2
Wakuu

Ebu naomba kujua ubora wa Huawei (P6 & P7) kulinganisha na Samsung Note 2, Note 3 na S4.
Nataka kununua Huawei P6 au P7 ila nataka nijue zinatofauti gani na Samsung Note 2, Note 3 au S4.

Asanteni
 
Duh. Sijui katika features zipi unataka tudadavue.

Hapo umetaja smartphone na phablet so kudadavua ni ngumu.

Ila kwa performance, ianze Note 3, S4, P7, P6 hafu Note 2.
 
sijakusoma nia yako una tatizo upande gani,ila in short huwezi kulinganisha samsung na huawei hata siku1.labda huawei na matakataka ya tecno
 
Samsung habari nyingine kaka!, kuilinganisha na huawei ni sawa kulinganisha beetle na benz!, kuwa specific ulnganifu huo niupi uutakao mkuu FEFEKA
 
Kuna tofauti kubwa katika bei. Samsung zinaeeza kuwa reliable kidogo kuliko huawei ila p7 nayo ni nzuri sana, nimeona kioo chake na camera yake haviwezi kukuangusha. Perfomance ya cortex a9 inaweza isiwe kama ya snapdragon ya samsung ila kwa mtumiaji wa kawaida huwezi gundua.

P7 ina shape nzuri pia na materia yaliyotumika ni glass siyo maplastick ya samsung. Unapenda sana samsung? Kuna simu nzuri nyingine kama xperia na lg.

Nadhani watu wengi wanafikiria huawei p6 na p7 ni kama wanazozijua wao za bei rahisi kama y200 na 300, ambazo zina mbadala wake kwa upande wa samsung. Hizi p6, p7 ziko level tofauti.

Hizi wala sio level za tecno kama mdau mmoja alivyosema, labda kama hazijui. Kama unapenda simu kubwa kama note kuna huawei ascend mate 7. Kwa kifupi p6, p7, mate 7 ni simu za ukweli hasa design na material na cheaper, labda haziongozi lakini haziwezi kukuangusha. Achana na waliokariri majina.

Cheki video kama hii hapa kwenye link itakusaidia kuhusu p7 na s5.

[video]http://m.youtube.com/watch?v=wRcnFOvyLwQ[/video]​
 
sijakusoma nia yako una tatizo upande gani,ila in short huwezi kulinganisha samsung na huawei hata siku1.labda huawei na matakataka ya tecno

Mbona una madharau sana kwa watumiaji wa tecno? tecno ninayotumia bei yake ni sawa na gharama ya samsung s4 tatu. upo?
 
Kuna tofauti kubwa katika bei. Samsung zinaeeza kuwa reliable kidogo kuliko huawei ila p7 nayo ni nzuri sana, nimeona kioo chake na camera yake haviwezi kukuangusha. Perfomance ya cortex a9 inaweza isiwe kama ya snapdragon ya samsung ila kwa mtumiaji wa kawaida huwezi gundua.

P7 ina shape nzuri pia na materia yaliyotumika ni glass siyo maplastick ya samsung. Unapenda sana samsung? Kuna simu nzuri nyingine kama xperia na lg.

Nadhani watu wengi wanafikiria huawei p6 na p7 ni kama wanazozijua wao za bei rahisi kama y200 na 300, ambazo zina mbadala wake kwa upande wa samsung. Hizi p6, p7 ziko level tofauti.

Hizi wala sio level za tecno kama mdau mmoja alivyosema, labda kama hazijui. Kama unapenda simu kubwa kama note kuna huawei ascend mate 7. Kwa kifupi p6, p7, mate 7 ni simu za ukweli hasa design na material na cheaper, labda haziongozi lakini haziwezi kukuangusha. Achana na waliokariri majina.

Cheki video kama hii hapa kwenye link itakusaidia kuhusu p7 na s5.

[video]http://m.youtube.com/watch?v=wRcnFOvyLwQ[/video]​

<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=29415" target="_blank">mi_mdau</a></b> umeonesha udhaifu mkubwa sana..
Umeonesha wewe n adui sana wa samsung nila sababu..

Umeulizwa ipi bora generaly,ungejib tu ipi n bora na sio kuitukana samsung.
Hivi ukitumia plastic ya samsung ina madhara yoyote..

Ushauri wangu ni huu,usinunue simu iliyotengenezwa kwa housing ya kioo ni hatar,m nnatumia sony xperia z hapa,ilikua inapata moto then badae kioo kikawa kinaachia,coz hv vioo havfungw kwa nuts kama maplastic ya samsung ila vnaunganishwa kwa gundi..so n bora maplatic ya samsung
 
&lt;b&gt;&lt;a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=29415" target="_blank"&gt;mi_mdau&lt;/a&gt;&lt;/b&gt; umeonesha udhaifu mkubwa sana..
Umeonesha wewe n adui sana wa samsung nila sababu..

Umeulizwa ipi bora generaly,ungejib tu ipi n bora na sio kuitukana samsung.
Hivi ukitumia plastic ya samsung ina madhara yoyote..

Ushauri wangu ni huu,usinunue simu iliyotengenezwa kwa housing ya kioo ni hatar,m nnatumia sony xperia z hapa,ilikua inapata moto then badae kioo kikawa kinaachia,coz hv vioo havfungw kwa nuts kama maplastic ya samsung ila vnaunganishwa kwa gundi..so n bora maplatic ya samsung

Na wewe ni mnazi wa samsung bila shaka kwa sababu nilitegemea ungeona huyo nilimjibu aliyesema kufananisha huawei na samsung ni kama kifananisha beetle na benz. Kila kitu kina pros na cons ila niliona kila mtu ameona kama samsung haiwezi kushindanishwa. Plastic isnt premium for sure na sony wameendele kustick na material ya glass, sidhani kama ni mbaya labda matumizi yako. Kuna video za youtube na thread hapa jf kuhusu kupinda kwa iphone 5 plus. Video za kuonyesha udhaifu wa design hiyo zipo ila si lazima cases ziwe kwa watu wengi. We ni mmoja wa asilimia chache wanaoponda glass material. Ila ukweli ni kwamba samsung wanatumia cheap materials
 
upo sahihi kuhusu simu za samsung kuwa NA muonekano cheap ila usisahau ile ni polycarbonate best material ya kutengenezea smartphone,
 
Inaelekea wewe glass material unaisikia tu ila hujaitumia ndo maana unabisha usichokijua..

Mimi sio mnaz wa samsung,na niliwah kutumia s3 baada ya hapo sitaki na sitakaa nitumie tena samsung,ila huawei p6 na p7 hazipand kwa s4 na note series hata kwa dawa..

Alafu inaelekea upo sayari ya Mars maana hapa earth hatuna iphone 5 plus..
 
Yap niko mars, kwa kukosea kuiita iphone 6 nikaiita 5. Samsung is the best, nilikosea.
 
upo sahihi kuhusu simu za samsung kuwa NA muonekano cheap ila usisahau ile ni polycarbonate best material ya kutengenezea smartphone,
Polycarbornate bado ni plastic ila nakubaliana na wewe ni plastic bora kabisa ya kutengenezea simu.
 
huwez pata material mengine kama polycarbonate, even alluminium wanayotumia ni alloy tena grade ya chini ndio maana scandle za bendgate zinatokea, unless mtu atumie stainless steel ambayo sidhani kama simu zake zitanunulika
 
HTC one bado ni nzuri kuliko samsung yote in terms of material na design. Aina ya alluminium waliyotumia siijui ila bado najua ni bora kuliko plastic ya aina yoyote. Kumbuka samsung wanatumia mkanda wa aluminium pia si ajabu siku moja wakaitumia kwa sehemu kubwa zaidi
 
nilishaongea hapo juu samsung zinaonekana cheap, polycarbonate ilianza na nokia n9, so ni nokia ndio alioleta hii polycarbonate kwenye simu hebu tuiangalie toka kwake inalinganishika vipi na aluuminium?

1.scratch- hata ikipata scratch hazionekani sababu rangi haipakwi bali wakati wa manufacturing ndio inaekwa. mfano wake ni kama kuwe na matofali ya njano, kijani, mekundu na nyumba zisipakwe rangi, inamaana nyumba zetu hata watoto wakizikwaruza zisingekua zinaonyesha rangi kutoka hadi uangalie kwa karibu, alluminium yenyewe ni ngumu kupata scratch ili ikipata hizo scratch inatisha
iphone-5-nicks-macworld-australia.jpg

2.rangi- ni rahisi kutengeneza simu za rangi tofauti tofauti kutumia polycarbonate kuliko alluminium, rangi za polycarbonate zinaonekana za kiasili zaidi na kama utaeka kwenye alluminium inaweza banduka baadae na mara nyingi rangi zake hazikolei
n9-colour-range.jpg

3.durability- polycarbonate ni imara, inavumilia aina zote za hali ya hewa iwe joto sana au baridi sana wakati alluminium yenyewe ni kama kichochezi ikipata joto inalikoleza na baridi inaipuliza, pia inaleta ugumu kuunganishia material mengine juu yake. kama una kuna mtu ana htc one ina kama mwaka angalia neno htc kwa nyuma utaona linabanduka banduka sababu ni ngumu kunatisha kitu juu ya alluminium

kuna mambo mengi kama cost, wepesi nk unafanya polycarbonate yawe material mazuri,

ila mwisho wa siku tunasema beuty lies in the eyes of beholder kila mtu ana preference zake kwenye design
 
Samsung ufananishe na huawei???Iphone yenyewe kwa samsung anApewa kibano.
Halafu kuna fundi rangi hapo juu anadadavua rangi na aluminium!
 
Back
Top Bottom