Ubora wa simu za Huawei (P6 & P7) kuringanisha na Samsung Note 2, Note 3 na S4

Ubora wa simu za Huawei (P6 & P7) kuringanisha na Samsung Note 2, Note 3 na S4

Mbona una madharau sana kwa watumiaji wa tecno? tecno ninayotumia bei yake ni sawa na gharama ya samsung s4 tatu. upo?
Lakini hapa watu wanzungumzia ubora, mambo ya gharama unaweza kuuziwa clone hata kwa M1 na wajanja. Hiyo haifanyi kuwa simu ni bora kwakuwa umeuziwa ghali.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Samsung ufananishe na huawei???Iphone yenyewe kwa samsung anApewa kibano.
Halafu kuna fundi rangi hapo juu anadadavua rangi na aluminium!

Teh teh! Umenichekesha sana mkuu!

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Mimi natumia huawei p7 ni bora sana sana huwezi kulinganisha na Samsung
 
Kwa waliotumia simu zote wataeleza.nshatumia zote ila sasa Niko samsung na sitatoka tena.

Kama wewe ushatumia zote si uelezee basi. Hutatoka inawezekana ni suala la mapenzi tu kama mimi ambayvo siwezi kurudi kwenye samsung wala siwezi kwenda iphone. Ila kama ntahtaji kumsaidia mtu kulinganisha ntakuwa fair tu kuelezea pros na cons za kila simu
 
Wadau vp khs huawei Ascend sapphire edition?

Nini bei ya hiyo huawei p7 mnayoisifia?
Napenda simu za huawei piga ua!
 
Wadau vp khs huawei Ascend sapphire edition?

Nini bei ya hiyo huawei p7 mnayoisifia?
Napenda simu za huawei piga ua!

Huawei ascend p7 saphire edition Ni limited edition. Kimsingi itakuwa na kioo cha sapphire ambacho ni kigumu zaidi na nyuma watatumia ceramic amabayo Ni stronger na scratch resistant. Kwa hiyo mbele na nyuma scratches zitakuwa nadra. Tofauti na Huawei ascend p7 ya kawaida ni design tu
 
Na vp khs bei zake jamani?
Msaada p'se.
 
Samsung jina tu,au fonts za italic ndo huwa znawachanganya?

Ni sawa na tv nilipokuwa natumia flat ya samsung nilihs nimefika nikauza nikanunua singsang dah had raha, feature za kutosha, hapa ndo naona samsung jina tu.

All in all what matters ni powerful machine...izo cjui scratch kwan simu gari unataka ikaenayo miaka kumi? Mi simu yenyewe hii kila siku inatoka mipya.
 
Back
Top Bottom